Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Timu la kubebwa lazima li-play against 10 man ..... hongereni kwa ushindi wa jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu la kubebwa lazima li-play against 10 man ..... hongereni kwa ushindi wa jana
Dah kweli ndo zetu hizo... Hasa kwenye Uefa. Miaka yote tunachukua kwa kubebwa. Wapinzani wanakula nyekundu tu. Man U walikuwa na nyekundu 2009 tukawatia 2-0 fainali. 2011 tukawapiga 3-1 hadi babu akatetemeka kwa sababu ya kadi nyekundu waliyokuwa nayo. 2015 tukawatoa Bayern nusu fainali. Tuliwapiga 3-0 Nou Camp kwa sababu ya kadi nyekundu waliyopata. Na fainali Juve tukawatia 3-1 kwa kuwa walikuwa na nyekundu. Dah marefa wanatubeba mno!!!Timu la kubebwa lazima li-play against 10 man ..... hongereni kwa ushindi wa jana
...kawaambie Atletico waache ule mpira wao wa kukamia km wanacheza wanyama,wenzao wanatumia akili kutafuta pa kupitisha mpira,wenyewe wanakanyaga tu,na bado, watapewa makadi mpaka wajifunze futbol inachezwaje,ukiwaona wape hi!Uefalona katika ubora wake...
Kweli mkuu mimi nilikua naangalia mucho siyo mpiraHope haukuangalia mpira
Hadi aibu naona mimiDah kweli ndo zetu hizo... Hasa kwenye Uefa. Miaka yote tunachukua kwa kubebwa. Wapinzani wanakula nyekundu tu. Man U walikuwa na nyekundu 2009 tukawatia 2-0 fainali. 2011 tukawapiga 3-1 hadi babu akatetemeka kwa sababu ya kadi nyekundu waliyokuwa nayo. 2015 tukawatoa Bayern nusu fainali. Tuliwapiga 3-0 Nou Camp kwa sababu ya kadi nyekundu waliyopata. Na fainali Juve tukawatia 3-1 kwa kuwa walikuwa na nyekundu. Dah marefa wanatubeba mno!!!
Huu ni upuuzi tunawekeana umbea hapa tena kutoka site za hovyokakusanya umbeya nairaland na kuuleta bila kujiridhisha usahihi wake.
mkuu umecheka mpaka mwisho😀🙂 itachukua muda sana hao jamaa kuanza kutupigia kelele humu. bila shaka mpaka next season.Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!!
Bora humu ndani kutatulia sasa.mkuu umecheka mpaka mwisho😀🙂 itachukua muda sana hao jamaa kuanza kutupigia kelele humu. bila shaka mpaka next season.
Kutulie mara ngapi mkuu....kwisha habari yaoBora humu ndani kutatulia sasa.