FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Timu la kubebwa lazima li-play against 10 man ..... hongereni kwa ushindi wa jana
Dah kweli ndo zetu hizo... Hasa kwenye Uefa. Miaka yote tunachukua kwa kubebwa. Wapinzani wanakula nyekundu tu. Man U walikuwa na nyekundu 2009 tukawatia 2-0 fainali. 2011 tukawapiga 3-1 hadi babu akatetemeka kwa sababu ya kadi nyekundu waliyokuwa nayo. 2015 tukawatoa Bayern nusu fainali. Tuliwapiga 3-0 Nou Camp kwa sababu ya kadi nyekundu waliyopata. Na fainali Juve tukawatia 3-1 kwa kuwa walikuwa na nyekundu. Dah marefa wanatubeba mno!!!
 
mbona arda turan msimu uliopita alipewa card dhidi ya atletico madrid afu madrid ndio wakafunga goal kupitia kwa chicharito ila ilikuwa haiongelewi
 
Hadi aibu naona mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…