The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Hongera ulijua mapemaNI WAKATI SASA WA KUUZIMA MZIMU WA ANOETA.
•BARCELONA inaenda katika uwanja wa Anoeta uliopo Real Sociedad ikiwa na rekodi mbaya juu ya uwanja huo pia ikiwa haina mshambuliaji wake muhimu Luis Suarez.
-Suarez ataukosa mchezo huo kutokana na kadi ya tano ya njano aliyopata katika La Liga msimu huu dhidi ya R.Madrid wiki iliyopita.
-Lakini hilo linaweza kuwa si hofu kwa Barcelona licha ya Suarez kuwa mfungaji wao mkuu msimu huu akitimiza idadi ya magoli 26 katika La Liga, 7 Uefa huku akiweka rekodi ya kufunga magoli 45 kati ya michezo 45 aliyocheza na Barca msimu huu.
-Munir El Haddad, Rafinha Alcantara na Arda Turan wanaweza tumika kama mbadala wa Suarez katika safu ya ushambuliaji ya mbele na pengo lisionekane.
LAKINI TATIZO NA HOFU KUBWA KWA BARCA NI ULE MZIMU ULIOPO PALE ANOETA:-
ni dhahiri kwamba kwa miaka mitano sasa Barcelona haijawahi shida mechi zake zote tano (5) ilizozicheza dhidi ya Real Sociedad kule Anoeta.
-Mzimu huu ulianza katika msimu wa 2010/2011 Barca ikiwa chini ya Pep Guardiola walienda Anoeta na kupokea kichapo cha magoli 2-1.
-Msimu uliofuata wa 2011/2012 Barca ikiwa chini ya Guardiola tena ilienda Anoeta na kupata dro ya magoli 2-2.
-Msimu wa 2012/2013 ukiwa msimu wa tatu mfululizo Barca ikiwa chini ya Marehemu Tito Vilanova ilienda katika dimba la Anoeta na kupata kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Real Sociedad licha ya Barcelona kumaliza ligi kwa kuweka rekodi ya kukusanya pointi 100 katika msimamo wa ligi na kujikita kileleni lakini Real Sociedad ilifanikiwa kuinyang'anya Barca pointi 3 kule Anoeta.
-Msimu wa 2013/2014 ulikuwa msimu mbaya zaidi kwa Barcelona chini ya Tata Martino ambaye aliipeleka timu kule Anoeta na kurudi kwa kipigo cha magoli 3-1.
-Na msimu wa 2014/2015 chini ya Luis Enrique ambao ni msimu uliopita tu hivi majuzi Barca ilienda Anoeta na kupata kichapo cha goli 1-0 hali iliyoleta tafrani klabuni hapo kwani siku hiyo Messi alianzia benchi na aliingia kipindi cha pili bila kuleta madhara yoyote hadi mpira ulipoisha.
SASA JE; jumamosi hii Barca itaweza kuutoa mzimu huu uliokuwa ukiwaandama kwa miaka yote mitano pale Anoeta?
TUKUMBUKE KUA: Barcelona imepoteza asilimia 66 za point kiwanja cha real sociedad Anoeta tangu mwaka 2003
-Barcelona hadi sasa inaongoza ligi ikiwa na pointi 76 baada ya kucheza michezo 31 huku akimpita mpinzani wake Atletico Madrid ambaye niwa pili katika msimamo kwa tofauti ya pointi 6 huku Real Sociedad ikiwa katika nafasi ya 10 kwa kujikusanyia pointi 36 ndani ya michezo 31 ilizocheza.
BASI TUUTAZAME MTANANGE HUU KULE ANOETA MIDA YA SAA 21:30 USIKU
2 consecutive defeat and 4th defeat in la ligaSecond game we lost on la liga so sad
Timu nyingine ziende zikachukue idea kwa Real Sociedad.Kuna vitimu vingine vinaamua kutupa raha ya weekend bila kulipia, 6 zimeenda bado 3 na 4 tu, pressure imehamia kwa jiran
Kashafungwa ndugu! Jumlisha tena rekodi hii imeandoka tena na kipigo 1-0. Point nne tu Madrid wataikamata!NI WAKATI SASA WA KUUZIMA MZIMU WA ANOETA.
•BARCELONA inaenda katika uwanja wa Anoeta uliopo Real Sociedad ikiwa na rekodi mbaya juu ya uwanja huo pia ikiwa haina mshambuliaji wake muhimu Luis Suarez.
-Suarez ataukosa mchezo huo kutokana na kadi ya tano ya njano aliyopata katika La Liga msimu huu dhidi ya R.Madrid wiki iliyopita.
-Lakini hilo linaweza kuwa si hofu kwa Barcelona licha ya Suarez kuwa mfungaji wao mkuu msimu huu akitimiza idadi ya magoli 26 katika La Liga, 7 Uefa huku akiweka rekodi ya kufunga magoli 45 kati ya michezo 45 aliyocheza na Barca msimu huu.
-Munir El Haddad, Rafinha Alcantara na Arda Turan wanaweza tumika kama mbadala wa Suarez katika safu ya ushambuliaji ya mbele na pengo lisionekane.
LAKINI TATIZO NA HOFU KUBWA KWA BARCA NI ULE MZIMU ULIOPO PALE ANOETA:-
ni dhahiri kwamba kwa miaka mitano sasa Barcelona haijawahi shida mechi zake zote tano (5) ilizozicheza dhidi ya Real Sociedad kule Anoeta.
-Mzimu huu ulianza katika msimu wa 2010/2011 Barca ikiwa chini ya Pep Guardiola walienda Anoeta na kupokea kichapo cha magoli 2-1.
-Msimu uliofuata wa 2011/2012 Barca ikiwa chini ya Guardiola tena ilienda Anoeta na kupata dro ya magoli 2-2.
-Msimu wa 2012/2013 ukiwa msimu wa tatu mfululizo Barca ikiwa chini ya Marehemu Tito Vilanova ilienda katika dimba la Anoeta na kupata kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Real Sociedad licha ya Barcelona kumaliza ligi kwa kuweka rekodi ya kukusanya pointi 100 katika msimamo wa ligi na kujikita kileleni lakini Real Sociedad ilifanikiwa kuinyang'anya Barca pointi 3 kule Anoeta.
-Msimu wa 2013/2014 ulikuwa msimu mbaya zaidi kwa Barcelona chini ya Tata Martino ambaye aliipeleka timu kule Anoeta na kurudi kwa kipigo cha magoli 3-1.
-Na msimu wa 2014/2015 chini ya Luis Enrique ambao ni msimu uliopita tu hivi majuzi Barca ilienda Anoeta na kupata kichapo cha goli 1-0 hali iliyoleta tafrani klabuni hapo kwani siku hiyo Messi alianzia benchi na aliingia kipindi cha pili bila kuleta madhara yoyote hadi mpira ulipoisha.
SASA JE; jumamosi hii Barca itaweza kuutoa mzimu huu uliokuwa ukiwaandama kwa miaka yote mitano pale Anoeta?
TUKUMBUKE KUA: Barcelona imepoteza asilimia 66 za point kiwanja cha real sociedad Anoeta tangu mwaka 2003
-Barcelona hadi sasa inaongoza ligi ikiwa na pointi 76 baada ya kucheza michezo 31 huku akimpita mpinzani wake Atletico Madrid ambaye niwa pili katika msimamo kwa tofauti ya pointi 6 huku Real Sociedad ikiwa katika nafasi ya 10 kwa kujikusanyia pointi 36 ndani ya michezo 31 ilizocheza.
BASI TUUTAZAME MTANANGE HUU KULE ANOETA MIDA YA SAA 21:30 USIKU
Barca mpaka timu Mpinzani apewe kadi nyekundu Ndipo Mambo Yao yanyooke! Bila hivyo ni kipigo au sare!Kashafungwa ndugu! Jumlisha tena rekodi hii imeandoka tena na kipigo 1-0. Point nne tu Madrid wataikamata!
tatizo tumeanza wadhaifu. tumeanza bila Rakitic, Iniesta na Alba bila kumsahau Suarez. kocha ni kama alidharau mechi.Nini tatizo kwani?
Endelea kuweka kumbukumbu! Dozi inaendelea.NI WAKATI SASA WA KUUZIMA MZIMU WA ANOETA.
•BARCELONA inaenda katika uwanja wa Anoeta uliopo Real Sociedad ikiwa na rekodi mbaya juu ya uwanja huo pia ikiwa haina mshambuliaji wake muhimu Luis Suarez.
-Suarez ataukosa mchezo huo kutokana na kadi ya tano ya njano aliyopata katika La Liga msimu huu dhidi ya R.Madrid wiki iliyopita.
-Lakini hilo linaweza kuwa si hofu kwa Barcelona licha ya Suarez kuwa mfungaji wao mkuu msimu huu akitimiza idadi ya magoli 26 katika La Liga, 7 Uefa huku akiweka rekodi ya kufunga magoli 45 kati ya michezo 45 aliyocheza na Barca msimu huu.
-Munir El Haddad, Rafinha Alcantara na Arda Turan wanaweza tumika kama mbadala wa Suarez katika safu ya ushambuliaji ya mbele na pengo lisionekane.
LAKINI TATIZO NA HOFU KUBWA KWA BARCA NI ULE MZIMU ULIOPO PALE ANOETA:-
ni dhahiri kwamba kwa miaka mitano sasa Barcelona haijawahi shida mechi zake zote tano (5) ilizozicheza dhidi ya Real Sociedad kule Anoeta.
-Mzimu huu ulianza katika msimu wa 2010/2011 Barca ikiwa chini ya Pep Guardiola walienda Anoeta na kupokea kichapo cha magoli 2-1.
-Msimu uliofuata wa 2011/2012 Barca ikiwa chini ya Guardiola tena ilienda Anoeta na kupata dro ya magoli 2-2.
-Msimu wa 2012/2013 ukiwa msimu wa tatu mfululizo Barca ikiwa chini ya Marehemu Tito Vilanova ilienda katika dimba la Anoeta na kupata kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Real Sociedad licha ya Barcelona kumaliza ligi kwa kuweka rekodi ya kukusanya pointi 100 katika msimamo wa ligi na kujikita kileleni lakini Real Sociedad ilifanikiwa kuinyang'anya Barca pointi 3 kule Anoeta.
-Msimu wa 2013/2014 ulikuwa msimu mbaya zaidi kwa Barcelona chini ya Tata Martino ambaye aliipeleka timu kule Anoeta na kurudi kwa kipigo cha magoli 3-1.
-Na msimu wa 2014/2015 chini ya Luis Enrique ambao ni msimu uliopita tu hivi majuzi Barca ilienda Anoeta na kupata kichapo cha goli 1-0 hali iliyoleta tafrani klabuni hapo kwani siku hiyo Messi alianzia benchi na aliingia kipindi cha pili bila kuleta madhara yoyote hadi mpira ulipoisha.
SASA JE; jumamosi hii Barca itaweza kuutoa mzimu huu uliokuwa ukiwaandama kwa miaka yote mitano pale Anoeta?
TUKUMBUKE KUA: Barcelona imepoteza asilimia 66 za point kiwanja cha real sociedad Anoeta tangu mwaka 2003
-Barcelona hadi sasa inaongoza ligi ikiwa na pointi 76 baada ya kucheza michezo 31 huku akimpita mpinzani wake Atletico Madrid ambaye niwa pili katika msimamo kwa tofauti ya pointi 6 huku Real Sociedad ikiwa katika nafasi ya 10 kwa kujikusanyia pointi 36 ndani ya michezo 31 ilizocheza.
BASI TUUTAZAME MTANANGE HUU KULE ANOETA MIDA YA SAA 21:30 USIKU
badala ya kuwaza wakina Draxler unakuja humu kupiga kelele. jumanne ikifika utasema hukujiandaa mda ulikuwa hautoshi.Kashafungwa ndugu! Jumlisha tena rekodi hii imeandoka tena na kipigo 1-0. Point nne tu Madrid wataikamata!
n ahizo mechi zote alizo shinda walicheza 10 kwa 11Barca mpaka timu Mpinzani apewe kadi nyekundu Ndipo Mambo Yao yanyooke! Bila hivyo ni kipigo au sare!
Poleni sana. Ndo mpira huotatizo tumeanza wadhaifu. tumeanza bila Rakitic, Iniesta na Alba bila kumsahau Suarez. kocha ni kama alidharau mechi.
Vidole vina ganzi hawawezi ku-type watarudi hapa wiki ijayoHabari za hapa nyie Glory hunters!
POLENI KWA MSIBA,
Mwili wa marehemu umeshaletwa au bado??