FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sanaaaaa.....nimeamini ule mwiko wa kuchukua UEFA Mara mbili mfululizo hauvunjiki aiseee.....dohhh hakuna ambaye alitegemea kweli Athetico you deserve it mmejua kutumia mbinu vizuri.....Barca no plan B.....
timu zikibana pale nyuma zinatutesa sana. nimehuzunika sana.
 
Hawa Atletico kama hawana akili nzuri,yan mnacheza bila kujali MSN
 
nimeangalia mpira leo....barcelona i,ekuwa timu mbovu sana...
 
B
A.
S
H
A.
L
O
N
A

B
I
L
A

M
B
E
L
E
K
O

H
A
I
W
E
Z
E
K
A
N
I

[emoji638] : [emoji778]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
kuna mbeleko moja hapo ya penanti mzee bitozi refa kaweka freekick wakati jamaa kashika ndani ya box.
lakini poa tu, atretico wamestahili 100%
 
Kwanini JF isiwe na raha kwa style hii hahaaaaaa. Sijui nicheke cheko la Wacha 1 khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hawa atletic wamenifanya nishangilie mpaka sauti imekauka....ila polen jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…