FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Moyo wangu unalia na refa penat ya wazi kabisa refa anafiiirwwwaaaaaa Angekuwa karibu yangu ningemuinamisha yani penat ya wazi kabisaaaaa
 
Mkataba upi refa msnge penat ya wazi ile ***** zake
Inauma ee. Wakati wengine wakisema mnabebwa huwa huelewi. Kitendo cha Suarez na Neema vip mmoja wao alikuwa ale red. Iniesta je?
 
...sijui kwann Enrique kaanza kumpanga Ter stegen,sijui aliogopa ile mikwara ya dogo kutska kuondoka mwisho wa msimu coz anacheza mechi chache?!, hii game ni vita,anything is still possible!
Umeanza kuangalia lini au umeanza kuifatilia lini barca...mpaka leo hujui kipa yupi anadaka uefa, copa del ley na yupi anadaka laliga
 
Moyo wangu unalia na refa penat ya wazi kabisa refa anafiiirwwwaaaaaa Angekuwa karibu yangu ningemuinamisha yani penat ya wazi kabisaaaaa
Dogo acha matusi Leo tulikuwa hatuchomoki kabisaaa hata bila Ile penalt matokeo yangebaki vile vile tungekuwa tushatolewa.....Leo tulikuwa wabovuuuuuuuuuuuuuuuuu......Athetico deserve a win.....
 
Uefalona pamoja na kupachikwa lakini bado mmebebwa. Iniesta ile ni straight red card. Anadaka mpira kama goli kipa...
 
Zidane exposed the show at Nou Camp and now every one knows how To deal with Barca
 
we umeona hiyo 2 .penalty ya barca je.?
refa anawabeba atletico.ndo huyu alichezesha word cup final hajielewi.
Vice versa vipi imekubali au?

Nilisema atletico 2-0 Barcelona
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…