Moyo wangu unalia na refa penat ya wazi kabisa refa anafiiirwwwaaaaaa Angekuwa karibu yangu ningemuinamisha yani penat ya wazi kabisaaaaa
bora umwambieDogo acha matusi Leo tulikuwa hatuchomoki kabisaaa hata bila Ile penalt matokeo yangebaki vile vile tungekuwa tushatolewa.....Leo tulikuwa wabovuuuuuuuuuuuuuuuuu......Athetico deserve a win.....
PointlessSijafurahi ila ninajua kukubali matokeo .....nawe kubaliana tu na matokeo hayabadiliki hayo turudishe nguvu kny ligi.....Mpira unadunda unatakiwa uwe tayari kwa lolote.....
Kwa hyo penat sio halali hv unafikir Barcelona kutoka ndio utatwaa Uefa ??Acha kutafuta excuses kama wewe ndio Kocha. Msikilize Luis Enrique kwenye press conference kakubali matokeo. Nyie shabiki maandazi tabu tupu.
kwani huja angalia mpira au?Vice versa vipi imekubali au?
Nilisema atletico 2-0 Barcelona
watu mapovu yanatoka ndo mpira jamani.we umeona hiyo 2 .penalty ya barca je.?
refa anawabeba atletico.ndo huyu alichezesha word cup final hajielewi.
Una stress wewe kakojoe ulale ...sasa utalia mpka saa ngapi ukweli ndo huo Leo tulikuwa wabovuu kubali matokeo wacha kelele.......Pointless
#MchezoHuuHautakiHasirakwani huja angalia mpira au?
[emoji23] my ribs ...Acha kutafuta excuses kama wewe ndio Kocha. Msikilize Luis Enrique kwenye press conference kakubali matokeo. Nyie shabiki maandazi tabu tupu.
Mbovo man u ambaye hata Europa hayupoUna stress wewe kakojoe ulale ...sasa utalia mpka saa ngapi ukweli ndo huo Leo tulikuwa wabovuu kubali matokeo wacha kelele.......
kabsa mkuu ktk mechi 4 kafungwa 3Zidane exposed the show at Nou Camp and now every one knows how To deal with Barca
Jmn man u katoka wp tena huku..hahahahahaha ...antony griezmanMbovo man u ambaye hata Europa hayupo
huyo zidane hayaoni mapungufu yake mpaka aonyeshe ya barca nyie vpkabsa mkuu ktk mechi 4 kafungwa 3
Hahhahahha unalo baby!!!!! ......nimeshakuambia kakojoe Ulale .....kwa mfano hapa Man U inaingiaje???[emoji15] [emoji15]Mbovo man u ambaye hata Europa hayupo
LA 3 au?Griezmannnnnnn goooooooooooooool
Shangaa na wewe best.....msamehe bure tu huyu dogo langu....Jmn man u katoka wp tena huku..hahahahahaha ...antony griezman
my ribs...one would see messi eyes