FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahhahahha unalo baby!!!!! ......nimeshakuambia kakojoe Ulale .....kwa mfano hapa Man U inaingiaje???[emoji15] [emoji15]
Si timu yako hawa Pagan the name bitoz belo n.k wote mpo man u ila mmeenda Madrid sababu ya Mmoroco alivyowahama
 
Mi nilishasema Barca wakicheza 11 vs 11 hawatoki, wamezoea kucheza wao 11 na wengine 10 au 9.
Hamna namna, wapigwe tu!
 
Si timu yako hawa Pagan the name bitoz belo n.k wote mpo man u ila mmeenda Madrid sababu ya Mmoroco alivyowahama
Mimi ni mshabiki wa Barca but hapa JF kulikuwa na mshabiki mmoja tu wa Barca wa ukweli wengine wote washabiki maandazi
 
😱😀😱😀😀😀😀😀😀😱😀😱😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…