[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niko ya PNC...sijawahi ona mtu akifungwa anawakana hadi ndugu zake!!!! Mimi mbado[emoji15] [emoji15] [emoji15]Labda upo Barcelona ya Ecuador
Kufungwa kubaya aisee.Hahhahahha unalo baby!!!!! ......nimeshakuambia kakojoe Ulale .....kwa mfano hapa Man U inaingiaje???[emoji15] [emoji15]
Huyo aliyepiga hakutakiwa awe uwanjani.kuna mbeleko moja hapo ya penanti mzee bitozi refa kaweka freekick wakati jamaa kashika ndani ya box.
lakini poa tu, atretico wamestahili 100%
Sawa Barcelona FounderBarca haiwezi kuwa na shabiki hata timu haijui,unaropoka tu
Barca Mes en que
Nasema hivi, Barca apigwe tu, hamna namna!Mkuu tatua matatzo yako ya Arsenal ya Barca tuachie wenyewe
Poor Messi. Panama papers zimemuathiri sana . Hadi leo dk 500 (mechi tano na ushee) hajafunga goli!
taratibu utamuua kwa stress huyu bwanaNasema hivi, Barca apigwe tu, hamna namna!
Kwani timu za EPL zina miaka mingapi hazijatwaa UefaPoor Messi. Panama papers zimemuathiri sana . Hadi leo dk 500 (mechi tano na ushee) hajafunga goli!
Nasema hivi, Barca apigwe tu, hamna namna!
Kula DEDICATION ya wimbo huu toka kwa Mwana FA:
.........ASANTENIII KWA KUJA THANX FOR COMING COMING COMING........
Makombe hayoooo yanapukutika.
Haters kwenye ubora waoPNC 1 kabakwa Leo hapo alipo chupi imelowa. Kanawe wewe
The best team in their city itakuwa noma sana basi...
Mess kavunja rekodi yake mwenyewe ya kutofunga goli hata moja kwenye mechi tano mfululizo heheheePenado mda huu anajiliwaza Morocco PAGAN anazurura JF