FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwani timu za EPL zina miaka mingapi hazijatwaa Uefa
Twende tukalale mdogo Wangu huku Leo watakupasua kichwa.....duh na kimvua kimeanza wacha mie nikafurahie sayansi ya Mungu.....usiku mwema....relax my dear fanya kama vile haijatokea...Viva Barcelona.
 
Barshitlona fucked their ass out of UCL. That taka taka, I don't know how do they Call it tuk tuk is a joke. Doesn't work when People decide to play Real football
 
Moyo wangu unalia na refa penat ya wazi kabisa refa anafiiirwwwaaaaaa Angekuwa karibu yangu ningemuinamisha yani penat ya wazi kabisaaaaa
Naomba mods huyu PNC aliyekosa malezi ya pande mbili msimpige ban tunahitaji ajue mpira sio wa timu Barcelona
 
Naona timu kubwa imetolewa na timu kubwa teehee teeehe barca ilale salama hamjaniangusha kabisa
 
Twende tukalale mdogo Wangu huku Leo watakupasua kichwa.....duh na kimvua kimeanza wacha mie nikafurahie sayansi ya Mungu.....usiku mwema....relax my dear fanya kama vile haijatokea...Viva Barcelona.
T eeeehe teeehe mpole sana mjipange kwa msimu ujao
 
Naomba mods huyu PNC aliyekosa malezi ya pande mbili msimpige ban tunahitaji ajue mpira sio wa timu Barcelona
Aliwahi kusema Real Madrid wakiifunga Barca ataacha ushabiki wa mpira na apigwe ban
Nashangaa bado yupo hapa
 
Haya endeleeni kuwepo wengine tushatangulia tayari
 
...then next season we need to rectify wale mabeki wa kati,Pique & Mascherano hawana ubora,poor mistakes costing the team time and time again!
Unless otherwise,good luck kwa mliobakia!
Kuna siku tulilijadili hili watu wakasema ooh tunamiliki mpira 80% hamuhitaji kuwa na beki bora ila nashukuru umeliona hilo.
 
Ili mwingine afurahi lazima mmoja alie mie niseme tu Japo chungu lakini dawa tumepigwa na tumekubali kushindwa msimu ujao siyo mbali ngoja tukajipange tena.

Ila niheri hilo kombe likaenda timu nyingine lakini si kwa hao ng'ombe wa Zizzou wataongea mno.

Ila pia habari njema ni hii hatutoki patupu msimu huu nina uhakika coz hakuna mwiko kwa mataji yaliyosalia VIVA BARCA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…