FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We will come back Guys next season kwenye UEFA ,ila tumepata changamoto ya kulichukua Laliga (hamna wakutuzuia) tunashinda match 4 kati ya 5 zilizobaki ,Tutachukua Copa deley Sevilla atakalishwa mapema....,then World cup clubs we come up again
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwani Madrid watafika wapi labda? Ni swala la muda tu.Barca sikuzote itabaki kuwa timu bora mtake msitake. Tumekufa kishujaa Kama simba

😛😛Hawa madrinyonyo wana-kiherehere sana,wanachekelea kupewa timu nyepesi na ndiyo maana uongozi ukatambua mapema udhaifu wao, wakaona wampe man city, then bayern na atltico...umeona sasa wana-chekacheka tu kupewa city....tuombe city apite tu
 
[emoji14][emoji14]Hawa madrinyonyo wana-kiherehere sana,wanachekelea kupewa timu nyepesi na ndiyo maana uongozi ukatambua mapema udhaifu wao, wakaona wampe man city, then bayern na atltico...umeona sasa wana-chekacheka tu kupewa city....tuombe city apite tu
Poleni msimu wenu Ulaya umeisha wale MSN wajipange tena
 
WATU WALIKUWA WANASUBIRI BARCA IFUNGWE ILI IWE STORY KWA SABABU HAMNA ZAIDI YA KILELE. NA BARCA ILISHAFIKA KWENYE MAFANIKIO (TREBLE) WAACHENI KWA SABABU LAZIMA BARCA ASHUKA ILI APANDE TENA .KAMA VILE FIFA RANKS ZINAVYOCHANCE. HATA BAYERN ALIKUWA BORA AKALA 5 .MADRID ALITOLEWA NA JUVE.
VIVA BARCELONA

😛Ndio kwanza wameingia semi kelele nyingi....mathalan wakifika final na wakabeba cup sijui itakuwaje, i thnk madrinyonyo fans itahamia humu
 
1dcde8e80455d8ad6d9f9b4efb0cedef.jpg
 
[emoji14]Ndio kwanza wameingia semi kelele nyingi....mathalan wakifika final na wakabeba cup sijui itakuwaje, i thnk madrinyonyo fans itahamia humu
Mbona nyie mlikuwa na kelele nyingi hata kabla hamjafika semi final
 
Wew ndio umeanza kuipenda Barcelona kabla ya Mpira ndio mana Mpira hauna ladha kwako bila ya Barcelona
Lakin kwa tulioanza kuupenda Mpira kabla ya club mpira haujawah kutokuwa na ladha

I'm Boca Juniors fan aka (La Boca) Labombonera, Argentain Club upo hapo, na c baserona wala madrid, nakushangaa kwenye red...eti mpira haujawahi kutokuwa na radha we vipi men hujui soka nini? Kwaiyo wataka kunitell me mpira wowote unaochezwa irimwenguni una ladha sindio hata mtibwa,simba,yanga nk? Tel me men, uko sirios men, usitake kujifanya unaujua mpira men, tupo tunaoujua zaidi yako men.rekebisha maneno yko yasio na kichwa wala miguu men.
 
mi liver plate na san lorenzo tukutane hapa
 
mi liver plate na san lorenzo tukutane hapa

😀😀 Safi sana tuko pamoja. Ila Usisahau kufatiria copa libertadores,

na bila kusahau timu moja ivi maalufu sana inaitwa ROSARIO CENTRAL Alikozaliwa Mlisi wa Maradona aitwae king mesiah. Jana imepiga mutu gori mbili kavu libertadores.

Be4 yesterday Boca kapiga mtu tena, mambo talatibu tu, hatutaki halaka muzehe
 
Back
Top Bottom