Kwani Madrid watafika wapi labda? Ni swala la muda tu.Barca sikuzote itabaki kuwa timu bora mtake msitake. Tumekufa kishujaa Kama simba
Poleni msimu wenu Ulaya umeisha wale MSN wajipange tena[emoji14][emoji14]Hawa madrinyonyo wana-kiherehere sana,wanachekelea kupewa timu nyepesi na ndiyo maana uongozi ukatambua mapema udhaifu wao, wakaona wampe man city, then bayern na atltico...umeona sasa wana-chekacheka tu kupewa city....tuombe city apite tu
Hahahhahahaha makubwaaaaa hayaaaaa!!!!!!! Embu niondokeeni wenye mikosi nyie wenyewe ambao mmelizira jukwaa...........
WATU WALIKUWA WANASUBIRI BARCA IFUNGWE ILI IWE STORY KWA SABABU HAMNA ZAIDI YA KILELE. NA BARCA ILISHAFIKA KWENYE MAFANIKIO (TREBLE) WAACHENI KWA SABABU LAZIMA BARCA ASHUKA ILI APANDE TENA .KAMA VILE FIFA RANKS ZINAVYOCHANCE. HATA BAYERN ALIKUWA BORA AKALA 5 .MADRID ALITOLEWA NA JUVE.
VIVA BARCELONA
Mbona nyie mlikuwa na kelele nyingi hata kabla hamjafika semi final[emoji14]Ndio kwanza wameingia semi kelele nyingi....mathalan wakifika final na wakabeba cup sijui itakuwaje, i thnk madrinyonyo fans itahamia humu
Wew ndio umeanza kuipenda Barcelona kabla ya Mpira ndio mana Mpira hauna ladha kwako bila ya Barcelona
Lakin kwa tulioanza kuupenda Mpira kabla ya club mpira haujawah kutokuwa na ladha
Mbona nyie mlikuwa na kelele nyingi hata kabla hamjafika semi final
Mbovo man u ambaye hata Europa hayupo
I'm Boca Juniors fan aka (La Boca) Labombonera, Argentain Club upo hapo, na c baserona wala madrid, nakushangaa kwenye red...eti mpira haujawahi kutokuwa na radha we vipi men hujui soka nini? Kwaiyo wataka kunitell me mpira wowote unaochezwa irimwenguni una ladha sindio hata mtibwa,simba,yanga nk? Tel me men, uko sirios men, usitake kujifanya unaujua mpira men, tupo tunaoujua zaidi yako men.rekebisha maneno yko yasio na kichwa wala miguu men.
Maisha bado yanaendelea hali kadhalika soka bado linaendelea................[emoji14][emoji14]Hatukulizira mbonaa...kutolewa kwetu ulimwengu mzima imeshangazwa maana kuwepo kwake baca inawapa faraja kubwa hata wanaoichukia, mojawapo man u fans
mi liver plate na san lorenzo tukutane hapa
Maisha bado yanaendelea hali kadhalika soka bado linaendelea................
Ha ha handugu zangu mmechambia upupu