Ingekuwa hiari yangu asingekuja humu ndani wallah!😛😛Hata mimi nawasi-wasi naye sana huyu dada, cku ya mechi akionekana tu humu tumekwenda na maji
Tukivuka kikwazo cha leo, kombe tunabeba. Na Madrid lazima apewe Bayern au Benfica, hawa jamaa tangu mtoano anapewa vibonde tuu.
😀Ingekuwa hiari yangu asingekuja humu ndani wallah!
ndugu zangu mmechambia upupu
Dohhh!!! Usiyempenda kaja niblock basi nisiwe na access na Barca[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ingekuwa hiari yangu asingekuja humu ndani wallah!
Cha msingi ujitambue, usije humu ndani tuu.Dohhh!!! Usiyempenda kaja niblock basi nisiwe na access na Barca[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahhahaha naanzaje kwa mfano!!!! Doohhh yaani nawashangaa kwa kunichukia huku siyo bure!!!!Cha msingi ujitambue, usije humu ndani tuu.
Sepa basi.Hahahhahaha naanzaje kwa mfano!!!! Doohhh yaani nawashangaa kwa kunichukia huku siyo bure!!!!
Nilipe nisepe fasta.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sepa basi.
Nkulipe nini shabiki wa Man U, Unataka mme?Nilipe nisepe fasta.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanini miye, nataka Barca....mi nilikuwa naimba mistari uliyokuwa umeanza kuandika. .....Nkulipe nini shabiki wa Man U, Unataka mme?
Wanini miye, nataka Barca....mi nilikuwa naimba mistari uliyokuwa umeanza kuandika. .....
Atakuja, hakataagi timu huyo.Bibie ka vipi njoo BOCA JUNIORS aka LA BOCA kure aripo Carlos tevez tujiunge basii au wasemajee? Baca+Boca= ndugu wawili
.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkulipe nini shabiki wa Man U, Unataka mme?
Wewe gang siku nyingi nakutafuta umekuja kufanya nini huku? C ndo juzi mmepigwa na juve? Au co ninyi..tueshimiane aise
Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,
mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
Kwa furaha ya kutolewa Barcelona Naona leo Cristiano Ronaldo ataenda kuulalia kabisa na sio kuukalia huko Morocco
kuna mbeleko moja hapo ya penanti mzee bitozi refa kaweka freekick wakati jamaa kashika ndani ya box.
lakini poa tu, atretico wamestahili 100%