FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Asanteni barca na muhindi week yangu ni maini tu "kuiua barca kwenye mkeka inalipa" jmn wazee wa Mkeka tumepata jamvi jipya alichaniki
 
😎😎😎bora wakose makombe yote akili itakaa sawa. Kucheza hivi hata kombe la mfalme kwa sevilla kutoka ni kazi.
 
Barca yaani kutoka kumzidi Real Point Tisa hadi sasa unamzidi point 1 tu aiseee
 
😎😎😎bora wakose makombe yote akili itakaa sawa. Kucheza hivi hata kombe la mfalme kwa sevilla kutoka ni kazi.
Last week kulikuwa na mjadala tunawaambia jamani back line yenu mbovu jibu jepesi tu wao wana miliki mpira sana so hawahitaji kuwa na ukuta bora sasa leo kama forward line ya valencia wangekuwa makini wangepata japo 4.
 
the league is wide open teh teh five games to go barca na atletico wanalingana point..wakimuacha real madrid point moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…