MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
kweli mkuu. Yaani Sergio stopper and distributor, Ukimbana huyo hawana cha kufanya, iniesta anajikuta anafanya kazi double. Huyu jamaa hata humu ametepeta sana leoLast week kulikuwa na mjadala tunawaambia jamani back line yenu mbovu jibu jepesi tu wao wana miliki mpira sana so hawahitaji kuwa na ukuta bora sasa leo kama forward line ya valencia wangekuwa makini wangepata japo 4.
Walimuangukia Neville 7 wakazani na leo ganda la ndizi barca wana pesa wazee wa Mkeka jamvi jipya hiliLast week kulikuwa na mjadala tunawaambia jamani back line yenu mbovu jibu jepesi tu wao wana miliki mpira sana so hawahitaji kuwa na ukuta bora sasa leo kama forward line ya valencia wangekuwa makini wangepata japo 4.
Kutoka kwenye hadithi za terebo hadi kwenda kufekenyua dokument za head to head, kweli maisha yanaenda mbio aisee
Mkuu ni kipindi cha mpito tu hata hvyo mashabiki walijitokeza kwa wingi kutoa sapot kwa wachezaji ila bahat haikuwa yetu Tujipange kwa gemu ijayo dhidi ya deportivo ugenini ila tumecheza vzur japo Iniesta inabid apatikane mbadala wake mapemawinning 39 matches in a row, to lose 4 in 5. PNC 1 what do you think is wrong with us?
Nadhani akili itawakaa sasa tuliwaleza baada ya kuondoka puyol hamna kitasa tena hata mtu akikohoa mlango unafunguka hawakutuelewa wakaleta unazi.kweli mkuu. Yaani Sergio stopper and distributor, Ukimbana huyo hawana cha kufanya, iniesta anajikuta anafanya kazi double. Huyu jamaa hata humu ametepeta sana leo
Barcelona ni zaidi ya MessiMessi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.
Hiyo ndio ushabiki khaswa kujua makosa kweli mmeshambulia sana kipindi cha pili mngeweza hata kushinda ila iniesta kachoka kweli.Mkuu ni kipindi cha mpito tu hata hvyo mashabiki walijitokeza kwa wingi kutoa sapot kwa wachezaji ila bahat haikuwa yetu Tujipange kwa gemu ijayo dhidi ya deportivo ugenini ila tumecheza vzur japo Iniesta inabid apatikane mbadala wake mapema
Utakuwa unaotaNext game Barca anaweza draw tena hivo kumwacha Real na atlet wakiwania
Vipigo vnakufanya unaongea point siku hiziMkuu ni kipindi cha mpito tu hata hvyo mashabiki walijitokeza kwa wingi kutoa sapot kwa wachezaji ila bahat haikuwa yetu Tujipange kwa gemu ijayo dhidi ya deportivo ugenini ila tumecheza vzur japo Iniesta inabid apatikane mbadala wake mapema
hao dipotivo tulisale mechi ya kwanza kama Valencia. inanitia wasiwasi. lakini bado tunaongoza. visca barca.Mkuu ni kipindi cha mpito tu hata hvyo mashabiki walijitokeza kwa wingi kutoa sapot kwa wachezaji ila bahat haikuwa yetu Tujipange kwa gemu ijayo dhidi ya deportivo ugenini ila tumecheza vzur japo Iniesta inabid apatikane mbadala wake mapema
Mkuu ni kipindi cha mpito tu hata hvyo mashabiki walijitokeza kwa wingi kutoa sapot kwa wachezaji ila bahat haikuwa yetu Tujipange kwa gemu ijayo dhidi ya deportivo ugenini ila tumecheza vzur japo Iniesta inabid apatikane mbadala wake mapema
bitoz mbona tukishinda huwa hautokei hata ukiitwa? nitafutie demu wa kishua anipoze mkuu.
Eti matokeo vipi [emoji780]
bitoz mbona tukishinda huwa hautokei hata ukiitwa? nitafutie demu wa kishua anipoze mkuu.
Hii rekodI mliiweka lini?winning 39 matches in a row, to lose 4 in 5. PNC 1 what do you think is wrong with us?
Ni kweli mkuu ile mechi hadi dakika ya 70 tulikuwa tunaongoza 2:0 ila baada ya pique kutoka na kuingia mathiew full time ikawa 2:2 na wale deportivo nou camp wanakuwaga wabishi sana ila kwao sio kiviile japo kwa mwendo huu tuliouanza hata mm napata wasiwas kwan pique hatokuwepo na itamlazmu mathiew acheze na ni beki ambaye ana mkos na deportivo la coruna.hao dipotivo tulisale mechi ya kwanza kama Valencia. inanitia wasiwasi. lakini bado tunaongoza. visca barca.
yo know better mister. it's the former.Hii rekodI mliiweka lini?
Ni unbeaten rekord ya 39 games au ni 39 victories in a row??