Licha ya kushambulia, nao wamekoswa kosea, ilitakiwa wapigwe mkono, yaaani tano! Valencia wamekosa magoli ya kijinga sana waliyopiga counter attacks!Hiyo ndio ushabiki khaswa kujua makosa kweli mmeshambulia sana kipindi cha pili mngeweza hata kushinda ila iniesta kachoka kweli.
Barca yaani kutoka kumzidi Real Point Tisa hadi sasa unamzidi point 1 tu aiseee
kwa hiyo? hela za BBVA tunachukua. iwe kwa point, head to head au magoli.Ilikuwa point 12 mkuu.
Utakuwa unaota
Mathieu aliumia na timu ya taifa France huenda asicheze tena msimu huu.Beki wa kati aliyefit ni Batra au Adriano anaweza chezeshwa katiNi kweli mkuu ile mechi hadi dakika ya 70 tulikuwa tunaongoza 2:0 ila baada ya pique kutoka na kuingia mathiew full time ikawa 2:2 na wale deportivo nou camp wanakuwaga wabishi sana ila kwao sio kiviile japo kwa mwendo huu tuliouanza hata mm napata wasiwas kwan pique hatokuwepo na itamlazmu mathiew acheze na ni beki ambaye ana mkos na deportivo la coruna.
Hilo ndio tulilosema kuhusu back line yao ila kiukweli bado ni timu tishio ingawa matokeo ya wiki hizi 3 yanawanya wapinzani wao wawaone ni wa kawaida na hilo nadhani hata katika dressing room ya barca mambo hayapo sawa kama ilivyo zoeleka.Licha ya kushambulia, nao wamekoswa kosea, ilitakiwa wapigwe mkono, yaaani tano! Valencia wamekosa magoli ya kijinga sana waliyopiga counter attacks!
Hivi PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???Mathieu aliumia na timu ya taifa France huenda asicheze tena msimu huu.Beki wa kati aliyefit ni Batra au Adriano anaweza chezeshwa kati
Hivi PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???
maana napata mashaka hapa haelewi ni mchezaji gani yupo fit na yupi ni majeruhi kwenye timu yao!!!
hawa ndio tunaita mashabiki wa kushangilia ushindi tuu, na mkuu barafuyamoto aliwahi kusema hawa jamaa ni mashabiki wa mkopo naona kuna ukweli HAPA!
dissappointed
Usiongee kwa kuhisi haya sema mara ya mwisho deportivo kutufunga ni mwaka UPI?Next game kwa Barca Ni ngumu kwa vile Inapigwa Estadio Riazor. Sio ndoto mkuu nimeshashuhudia kwa macho yangu Barca anakaa kwenye uwanja ule.
Hapo ndipo ninaposhangaa unaifatilia Barcelona kuliko unavyoifuatilia YokobusHivi PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???
maana napata mashaka hapa haelewi ni mchezaji gani yupo fit na yupi ni majeruhi kwenye timu yao!!!
hawa ndio tunaita mashabiki wa kushangilia ushindi tuu, na mkuu barafuyamoto aliwahi kusema hawa jamaa ni mashabiki wa mkopo naona kuna ukweli HAPA!
dissappointed
Vijamaa vya jiji la waasi haviwezi hata ku type mikono inatetemeka vimekimbia jukwaa
wewe jamaa ni bureee kabsa, kwahiyo ulikuwa hujui kuwa mathew ni injured???[emoji15] [emoji15]Hapo ndipo ninaposhangaa unaifatilia Barcelona kuliko unavyoifuatilia Yokobus