FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kuna watu wanamioyo ya chuma eti Granada anaweza kushinda
amini Granada afiki 25+ King Leo 🙂atakuwa ameweka
VIVA BARCELONA
 
Hii ya leo kweli ni fainali. Granada hataki kushuka daraja na barca anautaka ubingwa. Yeyote atakayepigwa itakuwa ni kilio kikuu.
GRanada alijiokoa mechi ya sevilla. na hii ni mbaya maana atarelax au kuamua kupaki basi na kuvizia counter. ina machale yananiambia kombe letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…