FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mpaka sasa Man Utd na Barca wameshakutana mara kumi draw 4 wameshinda mara tatu pande zote. Naombea tuendelee na haka kaform ketu kakutokuconcede away kwenye Champions League na gundu la Barcelona kutokushinda ndani ya Uingereza.

Arsenal 2-4 Barca (Highbury, after a 1 all draw at Camp Now)

Liverpool 0-3 Barca (Anfield, then 1 all draw at Camp Now)

Pia Barca kampiga Chelsea twice at the Bridge(2-1 na 1-0)

Pia Barca 1-0 Sampdoria (UCL Final at Wembley 1992)

Hii game ya 28th May ipo open kwa timu zote, ila kwa vile bingwa lazima apatikane, ni akili na mbinu za mabenchi ya ufundi plus individual skills kwa wachezaji wa pande zote ndo itaamua.
 
Ni mapema kidogo kuweza kujua nani atachukua ubingwa maana bado hatujui wachezaji gani watafika hiyo fainali wakiwa majeruhi. Kumbuka kuwa Barca wana mechi 4 za kumalizia LaLiga na United wana mechi 3 crusial za kumalizia Premier. Kuna baadhi ya wachezaji muhimu sana kwa pande hizo mbili ndio decesive players wa kuamua hiyo mechi ambao kama watakuwa majeruhi basi ni faida kubwa sana kwa opponents. Ila kama timu zote zitafika na wachezaji wote wakiwa fit basi game litakuwa gumu sana.

Katika hali ya kawaida Barca watacheza mpira wao wa kawaida, (keep the ball, attack seriosly) itakuwa ni kazi kwa Sir Alex kuamua ni mfumo upi atautumia kuicontain Barca. Man U wana faida kubwa sana maana ni kama watakuwa wanacheza nyumbani kwa, hiyo itakuwa ni suala la Barca kucompansate kisaikolojia.

Mwisho wa yote nitaweza kuwa kwenye position ya kusema timu ipi bingwa baada ya kujua fitness ya vikosi vitakavyocheza hiyo tarehe 28 mwezi huu.
 
Arsenal 2-4 Barca (Highbury, after a 1 all draw at Camp Now)

Liverpool 0-3 Barca (Anfield, then 1 all draw at Camp Now)

Pia Barca kampiga Chelsea twice at the Bridge(2-1 na 1-0)

Pia Barca 1-0 Sampdoria (UCL Final at Wembley 1992)

Hii game ya 28th May ipo open kwa timu zote, ila kwa vile bingwa lazima apatikane, ni akili na mbinu za mabenchi ya ufundi plus individual skills kwa wachezaji wa pande zote ndo itaamua.
bora mkuu unatoa takwimu maanake some people wanapenda kuongea without data
 
nikiangalia sequence and series ktk hesabu kuanzia 2005 hadi leo,inaelekea mwaka huu kombe linaelekea england
2005 england-liverpool
2006 spain-barcelona
2007 italy-ac milan
2008 england-man utd
2009 spain-barca
2010 italy-inter milan
kwahiyo ni england,spain halafu italy halafu kingine
spain 12 yani real madrid 9 barca 3
italy 12 ac milan 7,inter milan 3,juventus ajuza 2
england 11 liverpool 5,man utd 3,nottingham forest 2,aston villa 1
kingine ktk zote 2005 kasoro 2007 ac milan alipobeba,inaonyesha timu inayomtoa chelsea ktk uefa champs ligi ndio inakuwa bingwa
japo kisoka najua barca wataongoza kumiliki mpira ila kama pweza safari hii inampa nafasi man utd,japo zote mara zao za kwanza kubeba uefa champs zilikuwa wembley man utd 1968 na barca 1992
 
...mpira wa makukuru nakufukuza v/s ule wa kuweka chini na wenye malengo.
Peugeut 504 v/s BMW
Giggs v/s Messi
England v/s Spain
Scholes & Park v/s Xavi & Iniesta
Smalling v/s Puyol

My prediction: Barca 3 Manure 1

Messi '15 '88
Villa '68

Chicharito '44
 
nikiangalia sequence and series ktk hesabu kuanzia 2005 hadi leo,inaelekea mwaka huu kombe linaelekea england
2005 england-liverpool
2006 spain-barcelona
2007 italy-ac milan
2008 england-man utd
2009 spain-barca
2010 italy-inter milan
kwahiyo ni england,spain halafu italy halafu kingine
spain 12 yani real madrid 9 barca 3
italy 12 ac milan 7,inter milan 3,juventus ajuza 2
england 11 liverpool 5,man utd 3,nottingham forest 2,aston villa 1
kingine ktk zote 2005 kasoro 2007 ac milan alipobeba,inaonyesha timu inayomtoa chelsea ktk uefa champs ligi ndio inakuwa bingwa
japo kisoka najua barca wataongoza kumiliki mpira ila kama pweza safari hii inampa nafasi man utd,japo zote mara zao za kwanza kubeba uefa champs zilikuwa wembley man utd 1968 na barca 1992


Mkuu umeona eeh!!! me nakuambia watu wanadharau tu lakini hii ndoo inaenda Sir Matty Busby hiii..............watu wanaona kama mechi rahisi ya hadi mtu kufungwa Goli 3, hii ngumu sana.........
 


CHAMPION LEAGUE FINAL 2011. Barcelona and man utd road to UEFA Champion League Final Wembley Stadium London United Kingdom.





BARCELONA V MANCHESTER UNITED
Saturday, 28 May 2011 19:00
Wembley Stadium


BARCELONA VS MAN UTD FINAL CHAMPION LEAGUE 28 MAY 2011. Manchester United vs Barcelona Champions League Final 28.05.2011 Wembley. United and Barça will play at Wembley Stadium, London, on May 28 - a rematch of the final in 2009 (Rome) won by Barça (Eto'o and who else? Messi). This time, Manchester United will be far stronger, and will present a team which Pepe Guardiola did not see tonight - Sir Alex Ferguson only played two of the team which one in Schalke 2-0 in the starting line-up.


Barcelona road to finals after defeating Real Madrid in the semifinals with agregrat 3-1. While Manchester United qualified for the finals after beating Schalke 04 with agregrat 6-1. Although the final is played in England, but Manchester United as a representative of the UK that does not mean absolute advantage, considering the final action does not recognize the place, because the atmosphere of the game, fans support plus motivation will be different than usual.


A classic rematch for 2011 CL Final football match Barcelona vs Man Utd 28.05.2011 Wembley. So who will win in the Champions League Final 2011? Manchester United or Barcelona?

Don't Miss the game.
 
BJ Umeliona hilo eehhh......watu wanatu-underestimate wanafikiri sisi ni sawa na vile vijamaa vinapiga dakika 90 with Zero shots........

Vile vijamaa nasikia viliwapiga bakora! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
nikiangalia sequence and series ktk hesabu kuanzia 2005 hadi leo,inaelekea mwaka huu kombe linaelekea england
2005 england-liverpool
2006 spain-barcelona
2007 italy-ac milan
2008 england-man utd
2009 spain-barca
2010 italy-inter milan
kwahiyo ni england,spain halafu italy.......
Soka bwana haina mambo hayo, kama ingekuwa hivyo basi na mimi ningesema hivi "..kwa vile Regal FC Barcelona mwaka huu imepoteza uchampion wa Euroleague kwenye Basketi, basi tutabeba UCL sababu tulipopoteza UCL msimu uliopita wao wakawa machampion wa basketi Ulaya, na kila mara Rafa Nadal anaposhinda Grand prix, Timu mojawapo ya Spain itang'ara. Ilitokea hivyo Spain iliposhinda Euro 08, WC 2010 na UCL(Barca) 09!!"

Lakini soka ni tofauti na hisia ya moyo wa mtu!
 
Two of the giants of the European game will come together at the end of this month at Wembley, as Barça, finalists three times in the last six seasons and semi finalists five times during that period, face Manchester United who go into their third final in four years. For Barça, the final also represents another record; their 17th in all European competition, more than any other club has managed, having already won 10 of them.

Barça won on their first ever European Final appearance in the 57/58 season, winning the Fairs Cup –the precursor to the UEFA Cup and Europa League. Coached by Domènech Balmanya, Barça beat a London XI team with goals from the legendary players Evaristo and Vergés. The Club also won the trophy in 1960 and in 1966.

In the European Cup, it was third time lucky for Barça in 1992, winning at Wembley after disappointments in Berne and Seville. Paris and Rome then saw Barça wins after the harrowing 1994 defeat in Athens. That means the Club at the moment are even stevens in the finals of Europe’s biggest competition, with three wins and three defeats.

The Cup Winners Cup was played for the last time in 1999. Barça won four of the six finals they took part in, the last one in Rotterdam in the 1996/97 season, when Ronaldo was the star figure.

Real Madrid have reached 16 European finals and won 11 of them: 9 European Cups and 2 UEFA Cups. AC Milan and Juventus have both reached 14 European finals.
 
So, unlike the Final at Wembley in 1992, when Barça lifted their first Champions League title wearing their second kit, which at that time was orange, the team will wear the blue and red strip. This is one of the agreements reached this Friday at a meeting in London in which UEFA, FC Barcelona and Manchester United all took part.

Ticket Distribution

Finally, Barça will have 24,140 seats for the Champions League Final at Wembley. Also, they can count on another 220 additional tickets designated for members with limited mobility and their companions.

Of the total number of tickets, 20,519 will be for club members and supporters clubs, and 3,621 are reserved for sponsors and institutional commitments. Of the total number, 16,415 tickets will go into a draw for members. Remember that tickets can be requested until Monday the 9th, at 19.00, via this form.

Location of Barça fans

Another aspect decided at the meeting was the distribution of the respective fans. FC Barcelona fans, who have been designated Stansted as the destination airport in London, will occupy the west side of Wembley Stadium.

Busy day before the Final

The day before the final, Friday the 27th will be a busy day at Wembley, including training and official press conferences. Alex Ferguson's team will train in the match stadium from 17.30, whilst Barça will do the same at 19.00. It’s planned that, 45 minutes before each training session, both managers will attend a press conference, as well as two players from each team.
 
NewDawnTz...juzi ndo nililianzisha...ona unavyoshambuliwa sasa...uliniahidi baada ya mtanange kwisha hutanikimbia! si ndio
 
NewDawnTz...juzi ndo nililianzisha...ona unavyoshambuliwa sasa...uliniahidi baada ya mtanange kwisha hutanikimbia! si ndio


Mkuu sikukimbii......tutaonana tarehe 28......hakuna timu bora wakati wowote wa soka ambayo haijawahi kumwaga chozi kwa kufungwa na timu ambayo haikuamini kuwa itaifunga........just wait on 28th


Halafu usishangae hizo Statitistics hapo kwenye poll zikawa ni Ball Possession ila score board ikasoma kivingine
 
Mkuu sikukimbii......tutaonana tarehe 28......
Halafu usishangae hizo Statitistics hapo kwenye poll zikawa ni Ball Possession ila score board ikasoma kivingine
Nimeipenda hii! Sisi Barca Ball possession ni utamaduni wetu, hatuogopi kufungwa ila tunaogopa kuzidiwa soka, tukifungwa na halafu tukazidiwa possession hata kibarua cha Pep kitakuwa matatani.
 
Back
Top Bottom