Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
at last futboli win
ukweli usiofichika hata wafanyaje mou akiendelea na hii style 11-10 men haikwepeki ni ujinga nafanya itamgharimu sana viva barcaJose anafahamu kuwa hawezi kuifunga Barca kwa kucheza clean and fair football, ndiyo maana kila anapokutana na Barca anabadili mbinu zake chafu, fikiria tangu ile droo ya 1-1, Bernabau haijakatwa nyasi mpaka jana akiamini kuwa nyasi zikiwa ndefu zitazuia Barca kupiga pasi za haraka. Na akaamini kwa kucheza soka ya nguvu na rafu ni rahisi kuwafanya Barca wachanganyikiwe, lakini hajui kuwa hiyo huwa inamgharimu na mwisho anaishia kutoa maneno yake ya ovyo kwamba ameiandaa timu yake kucheza wakiwa 10!
Classico ya mwisho mungu tusaidie fc barcelona tusonge fainali .