Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Champions League preview: Shakhtar Donetsk – Barcelona
Shakhtar vs Barcelona Preview - Goal.com
Shakhtar vs Barcelona Preview - Goal.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli si mchezo lakini as barca fan naamini we are in form tutawapiga tu madridFour El Clasico in 18 days, si mchezo.
Hii itakuwa El Classico Overload, itakinai tu!Four El Clasico in 18 days, si mchezo.
ofcoz mwaka jana messi aliifikia hii records ya ronaldo ile ya ligi ( Ronaldo's club record of 34 goals in a single league season, set in 1996–97) na sasa kaivunja ya msimu viva barcaPia Leo Messi katengeneza record mpya, 48 goals ina one season(japo bado kuna mechi zingine), na kuharibu ile ya 47 goals in one season ya Ronaldo Mbrazil akiwa na Barca na ile ya Ferenc Puskas ya 47 goals akiwa na madrid miaka ile ya 50s wakati hata camera za television zilikuwa ni black and white!
Did you know... about the clásico?
wakuu tv gani ya tz inaonesha gemu ya leo?