FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

di maria na ronaldo wanamuwekea adebayo mipira ya kumwaga tu hapa
 
dk ya 81 hapa messi anamlisha mpira iniesta lakini cassilasi anaucheza hapa na kuukamata
 
tunangoja mda wa nyongeza sasa ghivi kujua nani anaondoka na kombe
 
Hivi hawa striker wa kispaniola wana matatizo gani? David Villa hajafunga katika mechi 11 sasa.
 
What a break for Barcelona, Ronaldo kakosa goli la wazi hapa.
 
Madrid wanapata goli kutoka kwa Ronaldo...bonge ya kichwa, inanikumbusha kichwa alichopiga wakati wa final ya UCL kati ya Man Utd dhidi ya Chelsea
 
Madrid wanapata goli kutoka kwa Ronaldo...bonge ya kichwa, inanikumbusha kichwa alichopiga wakati wa final ya UCL kati ya Man Utd dhidi ya Chelsea
likibaki iviivi hadi mwisho morinyo atachonga sana
 
Duh Adebayor na Ronaldo wanakosa magoli hapa. Naona Barca wanapeleka kila mtu mbele notably Pique.
 
i maria anapata kadi nyekundu hapa baada ya kumuweka messi chini
 
na mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
madrid 1- barca o
 
Back
Top Bottom