FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

huwezi zuia mafuriko kwa viganja wenger ashapigwa moja na kukoswa nane ila nae kapaisha 7
 
Kilio kikuu kilisikika Katalunyia
Gwadiola aliwalilia wachezaji wake
Wala hakuweza kufarijiwa
Maana wote walipotezewa Imirati
 
van-persie.jpg
 
Kama arsenal hawatapata balaa la kuumia tutegemee mchezo mzuri siku ya marudiano.Lakini bado naiogopa sana Barca.
 
sababu ni watan zetu wa jadi tunawatakia kila la kheri so as kazi iwe nyepesi kwetu man u, coz wazee wa camp nou ni generation nyingine.all the best
 
Umeanza kushabikia soka lini mpaka useme hakujawai kuwa na kikosi cha soka kama hiki cha sasa barcelona..

barcelona ni timu nzuri sana tu lakini sentensi yako tata. Kuna miaka timu za uholanzi kama ajax zilikuwa ni tishio. Kuna vikosi kama vya Ac milan nayo vilikuwa ni tishio. jaribu kutazama na vipindi vya soka vya zamani utaona

Kuna real madrid ya kipindi cha yule kocha del bsques. alikuwa haacheki. Kina zizou.

Ni kweli, soka ina ups and downs, kulikuwa na vikosi vilikuwa moto mf;Red Star Belgred, Steaua Bucharest, Ajax ndo usiseme,bila kusahau Man U ya '99!
 
Arsenal leo viroo juu!!..mkishinda leo nitafurahia Tortilla de patatas yangu!!..huhhuu
 
It is the only European club to have played continental football every season since 1955, FCB .the motto "Més que un club" (English: More than a club)
 
Word up Barcelona...!!tatizo mmeifanya Arsenal ielekeze hasira ya kipigo kwa Maure EPL!!
 
Nimekuja hapa kuwapongeza Barca, kwa kuwadungua hawa washika bunduki za maji.

Hili kombe si la kila timu kulishika.

Kombe lina wenyewe hili.

Hongereni Barca!
 
Nimekuja hapa kuwapongeza Barca, kwa kuwadungua hawa washika bunduki za maji.

Hili kombe si la kila timu kulishika.

Kombe lina wenyewe hili.

Hongereni Barca!


twashukuru sana,ilikuwa party
na tunangoja tena!!
 
It is the only European club to have played continental football every season since 1955, FCB .the motto "Més que un club" (English: More than a club)[/QUOTE]


swadakta,the history shall never die any soon
 
Back
Top Bottom