FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

***** ina maana benchi zima la ufundi ndio lilipanga kikos kile kianze mamaee[emoji35] zao
 
Hawa watoto Alaves hawafai.
Sio kwamba hawafai,Kocha ndio amekuwa kiazi.
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri,barca hufungwa au huwa na wakati mgumu sana wakitoka international teams (tangu Kocha aingie hajaweza kuona tatizo hilo au analipuuza)

Kikichotokea amepanga tena kikosi (wachezaji wazuri )lakini hawajazoeana

Gharama za namna hii ni kubwa mno, point tatu kwa Spain ni mlima mkubwa sana kuupanda ,ikitokea bahati mbaya classical number 1, tukafungwa, hali itakuwa mbaya zaidi
 

Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
***** ina maana benchi zima la ufundi ndio lilipanga kikos kile kianze mamaee[emoji35] zao
hahahaa, wameudhi sana. hata kama ni kuwapa wapya nafasi siyo hivyo. leo karibu timu nzima ilikuwa nje. mtindo wetu wa kutumia beki za pembeni kupandisha timu ulifeli sababu ya kukosa alba na Sergio. tujilaumu wenyewe. jumanne saa nne kasorobo tutakuwa na celtic.
 
Reactions: PNC
Alaves ni wazuri pia hata atletico alitoa draw nao
 
Poleni mweeeeee sijui niseme piga haoooo........nyumba kuu hadi mchepuko majangaaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Bora niliye fungwa na Guardiola

Poleni watani
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…