DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
leo anakufa TEAM DORTMUND[emoji123] [emoji123] [emoji123]HAHAA nakweli Madrinyonyo
Uko sahihi mkuu
mkuu hivi ile jezi yetu ya njano bado ipo?leo anakufa TEAM DORTMUND[emoji123] [emoji123] [emoji123]
hapana mkuu msimu huu hatunamkuu hivi ile jezi yetu ya njano bado ipo?
mambo yapo shingoni. wakipanda Dortmund wanapigaga counter za hatari. huyo Aubameyang anaspidi balaa. ndugu zetu wameshikwa pabaya leo.Hawa Real Madrid wamegeuka Athletico Madrid,wamejazana nyuma huku wakiomba mungu awape goal huko mbele???
Barcelona huwa hatulembi dawa yao ni kuwafatua tena kwa magoli mengikesho tupo na borrussia mochengladbach. kwenye ligi yao wanashika nafasi ya nne, wamecheza mechi 5. wamefunga goli 10 na kufungwa 6. nafikiri hatutakuwa na kazi ngumu. nina hamu ya kuona kandanda lenye speed, formation,nidhamu na umaverick vikichanganywa kwa pamoja.
Afadhali tufungwe kuliko kupata ushindi unaosababisha tuwe ni tumbo joto dakika zote-tushinde hii game convincingly-mambo ya kuangalia mpira huku pressure inapanda tuuwaachie R Madrid cause wao ni wazoefuBarcelona huwa hatulembi dawa yao ni kuwafatua tena kwa magoli mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hutak ushindi wa mang'amng'amAfadhali tufungwe kuliko kupata ushindi unaosababisha tuwe ni tumbo joto dakika zote-tushinde hii game convincingly-mambo ya kuangalia mpira huku pressure inapanda tuuwaachie R Madrid cause wao ni wazoefu
Barcelona huwa hatulembi dawa yao ni kuwafatua tena kwa magoli mengi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][Fyatueni tu wengi mimi nitawasomesha] Tena leo tunafyatua double double...
ILA HUENDA TUNAWEZA SHINDAtungepunguza chenga. zinafanya tupoteze sana mpira. Neymar kataitiwa sana.