akija Barca anaweza fanya makubwa. hiyo inconsistency inaweza kuwa ni tatizo la timu na si mchezaji. ila tungempata Dembele tungekuwa wa moto. imagine Dembele na Roberto? ingekuwa kama Messi na Alves. spidi nyingi. hawa wapaki mabasi wangekuwa wanalala na viatu.Hii newZ mnaichukulia vipi ndugu zangu? Je kuna ukweli wowote?
PNC,RED GIANT,ALLEYN,JACKLINE,MONASHA N.K
wachezaji wazuri huwa hawahami hasa wakiwa timu bora. Pele alikaa kwenye klabu yake miaka 18. hata Mmorocco hawezi toka kirahisi Madrid.Umenena mkuu... ni fedheha kubwa mno kwa professor huyu kujiunga na timu nyingine zaidi ya hapa hapa kwenye big club in the world "Blaugrana" zilizobakia ni takataka
Messi ni Professor wa mpira duniani..no doubt
PIGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
MBWAAAAAAAAAAAAAAAAAaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
BARCELONA BUANAAAA[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Pique ndie mbadala wa King Messi😀😀
Huyu dogo yani ananiudhi sana,na sometimes matokeo yanakua mabaya kwa sababu yake....mpira mwingi unapotelea kwake,anakaa na mpira muda mrefu sana huku wenzie wamesimama wanasubiri pasi, na analazimisha chenga huku anawacheck washabiki kama wanamtazama....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakuu hivi tikitaka na hangaishwa bwege ni sawa? naonaga possesions tunawaachaga mbali lakini distance covered wanatuacha sana. si inamaana muda mwingi wanakimbia kimbia wakitafuta mpira kama mabwege?🙂😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ban nishazizoea mkuu maana hawa mod ni jipuHahaha Pnc Wewe mtata sna.ntakusemea upigwe ban,hiri jukwaa la watu bwana, la akina sisi
Hujachelewa mkuu karibu tulisongeshe jahaziLeo ndio nagundua kama kuna uzi wa wadau humu, nimemiss mengi
pamoja sana kiongozi.Hujachelewa mkuu karibu tulisongeshe jahazi
Dembele namuelewa yule mtoto.akija Barca anaweza fanya makubwa. hiyo inconsistency inaweza kuwa ni tatizo la timu na si mchezaji. ila tungempata Dembele tungekuwa wa moto. imagine Dembele na Roberto? ingekuwa kama Messi na Alves. spidi nyingi. hawa wapaki mabasi wangekuwa wanalala na viatu.
Tena jipu lislotumbka😛😛😛[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ban nishazizoea mkuu maana hawa mod ni jipu
Neymar anaipa width Barca,ana stretch opposition pembeni ili pale kati strikers wawe free,dribbling yake inaipa Barca additional bite. Tatizo tukiwa katika backfoot chasing a game ndio tunaona he is wasting the ball,tukiwa in front we think he is fine.Tatizo sio Neymar ni mfumo wa Barca-hata tukiwa tumefungwa Barca are composed utafikiri wanaongoza, hakuna urgency,kickabouts zinaendelea utafikiri tunaongoza(ndio maana Barca ni tofauti na timu yoyote duniani)Mkuu Black, suala la Messi kuondoka Barca sio la leo wala kesho. Messi angeweza kuondoka kipindi ambacho alizinguana na Luis Enrique ila kwa sasa haiwezekani, Messi akacheze EPL!!?? Impossible.
Mimi Neymar namkubali mno na namuona ndie Wing ya kushoto bora zaidi duniani, kama unaangalia vema mpira utagundua Neymar anakokota sana mpira kama Messi hayupo au endapo timu ina defence kali kama Madrids n.k
Angalia Classico iliyopita ambayo tulipigwa 2-1, Messi hakuweza kufurukuta sana upande wa kulia, ikabidi Neymar atembee kushoto. Tukubali kuwa Neymar kudribble anaweza na ni mzuri sehemu hiyo, tatizo lake ni nguvu miguuni.
Kubwa zaidi kuhusu Neymar ni fundi wa kuweka mpira wavuni, iwe faul au kawaida. Akipata chance nzuri hakuachi, sio kama halima benzema wa Madrid.
KESHO NI FC BARCELONA vs CELTA VIGO
saa 3:15 usiku
VIVA BARCELONA
Mkuu nimeona reaction yako sehemu ukifurahia mnyama[emoji23] [emoji23]KESHO NI FC BARCELONA vs CELTA VIGO
saa 3:15 usiku
VIVA BARCELONA