FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii newZ mnaichukulia vipi ndugu zangu? Je kuna ukweli wowote?

PNC,RED GIANT,ALLEYN,JACKLINE,MONASHA N.K
akija Barca anaweza fanya makubwa. hiyo inconsistency inaweza kuwa ni tatizo la timu na si mchezaji. ila tungempata Dembele tungekuwa wa moto. imagine Dembele na Roberto? ingekuwa kama Messi na Alves. spidi nyingi. hawa wapaki mabasi wangekuwa wanalala na viatu.
 
Umenena mkuu... ni fedheha kubwa mno kwa professor huyu kujiunga na timu nyingine zaidi ya hapa hapa kwenye big club in the world "Blaugrana" zilizobakia ni takataka

Messi ni Professor wa mpira duniani..no doubt
wachezaji wazuri huwa hawahami hasa wakiwa timu bora. Pele alikaa kwenye klabu yake miaka 18. hata Mmorocco hawezi toka kirahisi Madrid.
 
wakuu hivi tikitaka na hangaishwa bwege ni sawa? naonaga possesions tunawaachaga mbali lakini distance covered wanatuacha sana. si inamaana muda mwingi wanakimbia kimbia wakitafuta mpira kama mabwege?🙂😀
 
PIGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

MBWAAAAAAAAAAAAAAAAAaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
BARCELONA BUANAAAA[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Hahaha Pnc Wewe mtata sna.ntakusemea upigwe ban,hiri jukwaa la watu bwana, la akina sisi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu dogo yani ananiudhi sana,na sometimes matokeo yanakua mabaya kwa sababu yake....mpira mwingi unapotelea kwake,anakaa na mpira muda mrefu sana huku wenzie wamesimama wanasubiri pasi, na analazimisha chenga huku anawacheck washabiki kama wanamtazama....

Hahahahaa naskia kawa muimbaji,
 
  • Thanks
Reactions: PNC
wakuu hivi tikitaka na hangaishwa bwege ni sawa? naonaga possesions tunawaachaga mbali lakini distance covered wanatuacha sana. si inamaana muda mwingi wanakimbia kimbia wakitafuta mpira kama mabwege?🙂😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha Pnc Wewe mtata sna.ntakusemea upigwe ban,hiri jukwaa la watu bwana, la akina sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ban nishazizoea mkuu maana hawa mod ni jipu
 
akija Barca anaweza fanya makubwa. hiyo inconsistency inaweza kuwa ni tatizo la timu na si mchezaji. ila tungempata Dembele tungekuwa wa moto. imagine Dembele na Roberto? ingekuwa kama Messi na Alves. spidi nyingi. hawa wapaki mabasi wangekuwa wanalala na viatu.
Dembele namuelewa yule mtoto.
 
Mkuu Black, suala la Messi kuondoka Barca sio la leo wala kesho. Messi angeweza kuondoka kipindi ambacho alizinguana na Luis Enrique ila kwa sasa haiwezekani, Messi akacheze EPL!!?? Impossible.

Mimi Neymar namkubali mno na namuona ndie Wing ya kushoto bora zaidi duniani, kama unaangalia vema mpira utagundua Neymar anakokota sana mpira kama Messi hayupo au endapo timu ina defence kali kama Madrids n.k

Angalia Classico iliyopita ambayo tulipigwa 2-1, Messi hakuweza kufurukuta sana upande wa kulia, ikabidi Neymar atembee kushoto. Tukubali kuwa Neymar kudribble anaweza na ni mzuri sehemu hiyo, tatizo lake ni nguvu miguuni.

Kubwa zaidi kuhusu Neymar ni fundi wa kuweka mpira wavuni, iwe faul au kawaida. Akipata chance nzuri hakuachi, sio kama halima benzema wa Madrid.
 
yeah, hili liko wazi sana ila ni wachache wasiojua mpira ndio hawaelewi. FC Barcelona na Real Madrid ndio club kubwa zaidi duniani. Cristian Ronaldo alianzia kwao ureno, akaenda Man U then akatua Madrid. hapa amefika peak, sio rahisi kukubali kurudi England au kwingineko sababu tayari yuko kwenye moja ya club kubwa duniani. on the other side, professor Leonel Andres Messi (LA PULGA) yeye alianzia soka lake barcelona, club yenye makombe mengi (competitional trophies) kuliko timu yoyote in our solar system. sasa ukicombine uwezo wake na timu anayoitumikia, utakua unamkosea adabu kumtaka aende kucheza EPL au League one. Ilimlazimu Ronaldo kupitia timu zake za awali sababu alistart from the bottom, wakati messi alianza safari akiwa kwenye peak tayari.
kama kucheza league nyingi tofauti tofauti ndio kipimo cha ubora, basi Thiery Henry ndie angekua mchezaji bora wa wakati wote. alishinda ligi ya ufaransa, akashinda ligi ya Italia akiwa na juventus, akashinda league ya uingereza na arsenal, akashinda laliga akiwa na barca. lakini kuonyesha kwamba hiki sio kigezo, pamoja na mafanikio yote hayo hakushinda ballon d'or hata moja. Lakini pia, inashangaza kuona watu kama Steven Gerald na Thomas Muller wakisifiwa kwa kua loyal kwa timu zao, ila Messi anaambiwa aende EPL ili kudhihirisha ubora wake. Ni hoja dhaifu sana hasa unapoangalia hizo timu za uingereza amezifanya nini alipo kutana nazo.
Cristian Ronaldo ni mchezaji mwenye juhudi kubwa, na ubora wake ni wa hali ya juu ila Lapulga is just from another planet asee. By the way, panapo majaliwa ipo siku nitawasimulia wanangu kua nilipata kushuhudia hawa watu wawili wakilitawala soka la dunia, kama ambavyo mzee ananisumila habari za Pele na Maradona.
From a Blaugrana with love!
 
Mkuu Black, suala la Messi kuondoka Barca sio la leo wala kesho. Messi angeweza kuondoka kipindi ambacho alizinguana na Luis Enrique ila kwa sasa haiwezekani, Messi akacheze EPL!!?? Impossible.

Mimi Neymar namkubali mno na namuona ndie Wing ya kushoto bora zaidi duniani, kama unaangalia vema mpira utagundua Neymar anakokota sana mpira kama Messi hayupo au endapo timu ina defence kali kama Madrids n.k

Angalia Classico iliyopita ambayo tulipigwa 2-1, Messi hakuweza kufurukuta sana upande wa kulia, ikabidi Neymar atembee kushoto. Tukubali kuwa Neymar kudribble anaweza na ni mzuri sehemu hiyo, tatizo lake ni nguvu miguuni.

Kubwa zaidi kuhusu Neymar ni fundi wa kuweka mpira wavuni, iwe faul au kawaida. Akipata chance nzuri hakuachi, sio kama halima benzema wa Madrid.
Neymar anaipa width Barca,ana stretch opposition pembeni ili pale kati strikers wawe free,dribbling yake inaipa Barca additional bite. Tatizo tukiwa katika backfoot chasing a game ndio tunaona he is wasting the ball,tukiwa in front we think he is fine.Tatizo sio Neymar ni mfumo wa Barca-hata tukiwa tumefungwa Barca are composed utafikiri wanaongoza, hakuna urgency,kickabouts zinaendelea utafikiri tunaongoza(ndio maana Barca ni tofauti na timu yoyote duniani)
 
WADAU MNAMUONAJE HUYU DOGO NAFIKIRI BARCA WAFANYE HARAKA WAMPELEKE LA MASIA Dogo ni wa Anderlecht youth team huko Belgium kwa Samatta HAKIKA BARCA WASIPOTEZE MUDA WAMUWAHI MAPEMA IKIWEZEKANA ZILE M80 tulizotaka kumpa pogba tukampe huyu dogo

Back
Top Bottom