[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heshimu jukwaa Wewe mtoto!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 421463NTUZU anatumia 4g hawez kutumia wewe 2g a.k.a E
Wachawi huwa wanajuana !!!dua za kinafki[emoji45]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] MKUU LEO NI SIKU YA KULA BATA kwa kazi nzuri ya jana hvo hapa nacheza na hiki kijukuu changu japo kiyuda ila hvohvoHii inahusiana vipi na hii thread??
Mhhhhh??[emoji15]Get well soon Pique .....
Nini wifi jamaniii!!!!Mhhhhh??[emoji15]
Raha sana kiongozi acha kabisa, leo kwa job nimekuwa msemaji mkuuMatamanio yako yamekuwa kweli bhana.
Wanasemaga adui muombee njaa ila hapa sijui ni nini kinaendeleaNini wifi jamaniii!!!!
Tuko michepukoni usijali!!Wanasemaga adui muombee njaa ila hapa sijui ni nini kinaendelea
yaani everlenk unashangaza sana. mwanaume anayekutunza kwa kandanda safi, magoli na vikombe umemuweka mchepuko na kuolewa na mtu hana hata swagga, cheki alichofanya this monday! PNC 1 naomba muite jackline amshauri, labda wadada kwa wadada wataelewana.Tuko michepukoni usijali!!
idea ya kwamba Mattieu ni mpendwa wetu inanichekesha sana🙂🙂😀. ila inaonekana hizi wiki tatu tutakuwa vibaya sana kwenye defence.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu punguzeni maneno ya kichochezi kwa mpendwa wetu
kwenye hayo mafunzo Paco Alcacer asikose.Kitu kimoja nnachopenda toka kwa Messi, NI UMAKINI WA KUFUNGA GOLI.
Huyu Jamaa ni hatari sana anapokuwa na Goal. Sijui kwanini Suarez na Neymar wasikae chini wakafundishwa na Messi. Yale magoli ya jana yamenikumbusha mbali sana kipindi nacheza mpira. Nilikuwa fundi sana wa magoli ya kutisha na ya kumpeleka kipa wrong direction. Mimi Messi kanizidi kwenye kuchop tu.
yaani everlenk unashangaza sana. mwanaume anayekutunza kwa kandanda safi, magoli na vikombe umemuweka mchepuko na kuolewa na mtu hana hata swagga, cheki alichofanya this monday! PNC 1 naomba muite jackline amshauri, labda wadada kwa wadada wataelewana.
kiukweli mkuu tutapata shida ukizingatia next game vs valensia tena awayidea ya kwamba Mattieu ni mpendwa wetu inanichekesha sana🙂🙂😀. ila inaonekana hizi wiki tatu tutakuwa vibaya sana kwenye defence.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa naye anakuwa kama Mavugokwenye hayo mafunzo Paco Alcacer asikose.
naombea asipangwe kabisa. bora wakae Vidal, Mascherano, Umtiti na Digne. uliona kazi ya Umtiti jana?kiukweli mkuu tutapata shida ukizingatia next game vs valensia tena away
HUYU MATHIEW SIJUI KAMA HATATOA BOKO
umtiti ni habari nyingine ila kuhusu hiko kibabu sizani kama kitakosekananaombea asipangwe kabisa. bora wakae Vidal, Mascherano, Umtiti na Digne. uliona kazi ya Umtiti jana?