FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1476970164403.jpg
 
Suarez: "When I arrived at Barça I never thought I'd win the Golden Boot. I wanted to win the Champions League which I did."
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu punguzeni maneno ya kichochezi kwa mpendwa wetu
idea ya kwamba Mattieu ni mpendwa wetu inanichekesha sana🙂🙂😀. ila inaonekana hizi wiki tatu tutakuwa vibaya sana kwenye defence.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kitu kimoja nnachopenda toka kwa Messi, NI UMAKINI WA KUFUNGA GOLI.

Huyu Jamaa ni hatari sana anapokuwa na Goal. Sijui kwanini Suarez na Neymar wasikae chini wakafundishwa na Messi. Yale magoli ya jana yamenikumbusha mbali sana kipindi nacheza mpira. Nilikuwa fundi sana wa magoli ya kutisha na ya kumpeleka kipa wrong direction. Mimi Messi kanizidi kwenye kuchop tu.
kwenye hayo mafunzo Paco Alcacer asikose.
 
kiukweli mkuu tutapata shida ukizingatia next game vs valensia tena away

HUYU MATHIEW SIJUI KAMA HATATOA BOKO
naombea asipangwe kabisa. bora wakae Vidal, Mascherano, Umtiti na Digne. uliona kazi ya Umtiti jana?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom