Hatujabebwa hata kidogodah! mechi ngumu sana. kipa wao mzuri na dizaini tumebebwa bebwa
Hatujabebwa hata kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya zaid KING kapga mbiliHizi mbeleko zinaharibu mashindano. Bachalona mnabebwa Sana. Refa badala ya kumaliza mpira anawapa watu penalty
[emoji1] [emoji1] [emoji1] utaumia sana mkuuRefaree was the man of the match sasa unabisha nini? Denied 2 clear penalties for Valencia
lakini hatuwezi kuwa responsible kwa makosa ya refa. nawasubiri Bilbao wafanye yao.Refaree was the man of the match sasa unabisha nini? Denied 2 clear penalties for Valencia
ni makosa ya refa na siyo kitu common kututokea. goli la kwanza linabishaniwa offside sababu Suarez aliruka, Busquets alipaswa 2 yellow na Umtiti alipush kwenye box. lakini vyote ni controversial. ila point tatu za leo zimefurahisha sana.Hatujabebwa hata kidogo