Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, nawatakia ushindi mwema.. maana naamini hv vilabu vyetu ndo vilabu bora kwa sasa ulimwenguni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni nadra sana ila nikizungumza ni kwa fact
nasikia wamekuza nyasi ili tusipige pasi fresh🙂KING GOAL
[emoji86] duuh!nasikia wamekuza nyasi ili tusipige pasi fresh🙂
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] MECHI 4 GOLI 9Huyu mtu siyo wa sayar hii tunayoishi aisee. Atakuwa katokea sayar nyingne kabisa. Huu mpira mpaka kuisha atakuwa na hatrick
Huyu mtu siyo wa sayar hii tunayoishi aisee. Atakuwa katokea sayar nyingne kabisa. Huu mpira mpaka kuisha atakuwa na hatrick
dk 20 za mwisho tumepiga mpira mwingi sana. naona Neymar na Rakitic wameamua kufanya 'strategiic default'
Hii team huwa inatusumbua sanajpili saa tano kasorobo tutakuwa nyumbani kwa Sociedad.