Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa pasi fupi na kudribble hatutawaweza.Mjinga huyu, kama anaogopa aache kufundisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa pasi fupi na kudribble hatutawaweza.Mjinga huyu, kama anaogopa aache kufundisha
Yaani acha kabisa, mpka naogopa hiyo tar 3 itakuajeni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa basi fupi na kudribble hatutawaweza.
Rafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga.Haya akina gomezi siwapendi sana bora hata rafinha akicheza
Hawajamaa wameahatuonea sana misimu 6 sasa hatuja shinda hapa tumetoa draw moja tuSijawahi ona game ngumu kwetu kama hii.
Nadhani mawazo yapo kwenye el clasico.
Hata control ya mpira nikubwa sana hapotezi kijingaRafinha huwa anajiongeza sana. huwa anapiga mashuti na kufunga.
mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀Game gumu mno
nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..!Hii sub mimi sijailewa kabisa naona enrique hana mpango wa kushinda
Nadhani hatuna midfilders wa zuri kama walivyo kuwa akina ineistanisi
nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..!
Mkuu ujue mpira unacheza kwa kasi mara nyingi unashinda tutuwakimbize hivyohivyo. 1-1. king equalize
mtangazaji kasema eti sababu huo uwanja mashabiki wapo mbali🙂😀
bahati nzuri amekuwa anashinda. lakini Umtiti peke yake ndiyo kaonyesha uwezo. ngoja wamzonge na maneno akili imkae sawa. shenzitype.Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..?