FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ni mtangazajji alikuwa anamtania. hawa jamaa wanakaba sana, tena wanakuja wengi. kwa basi fupi na kudribble hatutawaweza.
Yaani acha kabisa, mpka naogopa hiyo tar 3 itakuaje
 
Hii sub mimi sijailewa kabisa naona enrique hana mpango wa kushinda
 
Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..?
 
nisi

nisiwe mnafiki...tangu huu msimu uanze sijamuelewa kabisa Enrique..haijalishi kama tutashinda au la..!
Nadhani hatuna midfilders wa zuri kama walivyo kuwa akina ineista
 
Kuna hawa vijana alio wanunua Enrique pale Barca..sometimes najiuliza walikuja Kufanyaje..?
bahati nzuri amekuwa anashinda. lakini Umtiti peke yake ndiyo kaonyesha uwezo. ngoja wamzonge na maneno akili imkae sawa. shenzitype.
 
hao real sociedad kafara waliochimbia kwenye huo uwanja itakuwa ya panya buku mzee ,sio bure yaani toka 2007 hadi leo ni mwendo kichapo au droo 😀😀😀😀😀

Sio kwa takwimu hizi
 
Yani huyo messi mnavyompamba nilidhani katia hatrick kumbe mnamsifia kwa ile droo tena mlichomekwa barca then mkaona inauma ndo mungu mtu wenu ndo kasaidia kuwachomolea poleni coz el classico mnakufa km castro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…