Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijaangalia mpira mpaka sasa, vipi tukoje huko?Viva Barcelona
Imani yako tuDah inafika mahali inabid tukubali historia tu sababu historia si kitu kizuri kabisa katika soka
[emoji117][emoji117]Barcelona haijawahi kushinda taji la liga kwenye msimu inayoishia na 7
Barcelona have never Won la liga in year whose last digit is 7 *(1947,1957,1967,1977,1987,997,2007,)*na hii dalili zishaanza mapema kuonekana nimejarbu kufuatilia historia hii ina ukweli 98%ambapo Barcelona huwa inamaliza nyuma ya Real na timu nyingine ambayo inashinda la liga mara nyingi imekua ni tofauti ya point 1 or 2
1997 Barcelona point 76
Real Madrid point 76 tofauti ilikua ni magoli ya kufungwa na kufunga hvyo kwa wimbi hili la Barcelona msimu huu linaashiria historia kamili jins ilivyo
[emoji117][emoji117]Kwa upande wa Barcelona ya sasa kocha Enrique hana mwenendo mzuri sana na chipukizi ambao wanatokea akademi ya lamasia sababu kabla ya kwenda Celta Vigo kufundisha alikua kocha Wa Barcelona B iliyokuwa na akina munir El Haddad, sandro Ramires, Marc Batra, Gerrard deolfoe, Christian Tello, Sergio samper, Ivan Hallovic isaac cuenca na wengine wengi sana ambapo walishinda kombe la UEFA YOUTH LEAGUE na munir El Haddad kuibuka mfungaji bora wa michuano
[emoji117][emoji117]cha kushangaza mchezaji pekee aliyebaki Barcelona had sasa ni Sergi Roberto ambaye pia ni kutokana na unyumbulikaji wa dogo huyu kucheza takrban no zote uwanjani
Kuna kamali imechezwa na Luis Enrique ni kwenye usajili wa beki Aleix Vidal, Jeremy Mathieu,Arda Turan, na Mshambuliaji Paco Alcácer hii ni kamali ktk kikosi cha Barcelona artilist andre gomes, Denis Suárez Lucas Digne wanajitahid lakini ukweli bado hawajafikia hatua ya kuichezea Barcelona bado hawajafikia ubora halisi wa jezi ya Barcelona
[emoji3][emoji3][emoji3]Paco Alcácer amezunguka uwanjani dk 31 bila hata ya kugusa mpira mmmh hii ni hatari kwa mchezo wa Barcelona wanavyocheza unakua uwanjani kwa dk 31 bila mafanikio ya kugusa mpira hata mara moja dah bado umemtoa munir El Haddad kwa mkopo na kudhihirisha ubora wake katufunga Barcelona tena akitokea sub why Paco Alcácer
Kiungo Sergio Busquets hana mbadala alikuepo Sergio samper ambaye alikua anakamatia dimba vizuri sana tofauti na anapokua nje Busquets pengo linaonekana
But watani wangu Los blancos hongereni kwa ushindi lakini hii furaha mnaipata kwa muda mfupi mno kulkon mkishinda inakua kama vile Barcelona c chochote la liga na wakati huo kwa vizaz vyetu vya miaka ya 1990's hamna aliyeishuhudia Real Madrid ilichukua la liga mara 7 almost miaka 26 now ambapo Barcelona wamekusanya makombe 15 kwa miaka 26 hiyo xo nadhani tuangalie na hilo pia tusijisahau sana
[emoji117][emoji117]muulizen Cristiano Ronaldo tangu mwaka 2009 atue Santiago benabeu ana la liga ngapi jibu atakalo kupa ni ni kwamba ana kombe moja la liga wakati huo ni mwaka wa 8 sasa
Luka modric, Ton Kroos, Gareth Bale na almost nusu wachezaji wote wa Madrid wa sasa hawana la liga jiulizen ni kwamba hawana ubora?
But all in all inakupasa tukubaliane na matokeo ya game pia tusiwe watu wa kutaharuki mara tu timu inaposhinda lakini kama ww ni shabik wa Ronaldo pekee ok poa ngojea akifanya vizuri njoo utambe lakini kama mdau wa soka maoni yako ni muhimu ili kuleta changamoto pia kujuzana habari ambazo wengine hatujui
*We win together*
*We lose together*
*We cry together*
*We smile together*
*We celebrate together*
*We draw together*
*are Barcelona forever*
*2gether as one @catalans*
*Da home of trophies*
*Visca El Barca visca cataluna*
cop&paste
ila hii mechi imenirejeshea confidence kwa timu. Casemiro kwanini alaaniwe?Pamoja na mapungufu ya refa ila uamuzi wa kushinda na kudraw ulikuwa mikononi mwetu
Binafsi sina mengi ila alaaniwe Casmiro
Mkuu huoni alichokifanya dakika ya 93 kwa kuuzuia mpira uliokuwa unaingia wavuniila hii mechi imenirejeshea confidence kwa timu. Casemiro kwanini alaaniwe?
baada ya kusawazisha niliacha kuangalia. roho yangu ilikuwa nyepesi sana leo.Mkuu huoni alichokifanya dakika ya 93 kwa kuuzuia mpira uliokuwa unaingia wavuni
Ni vema tukaelekeza nguvu kwenye Uefa na mfalmebaada ya kusawazisha niliacha kuangalia. roho yangu ilikuwa nyepesi sana leo.
na mimi nilikuwa na mawazo hayo. lakini hata huku vita bado. alivyoingia iniesta nimeona flow/fluidity ambayo sijaiona siku nyingi. tukaze, tumepoteza pambano na si vita.Ni vema tukaelekeza nguvu kwenye Uefa na mfalme
Mimi nilikwambia mapema pole hukunielewa. Sasa unasema tukomae na uefa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni vema tukaelekeza nguvu kwenye Uefa na mfalme
Uzuri wa Barcelona hawajawahi niangushaNilikuwa nikiomba kwa ajili ya Barcelona na ndugu yangu PNC 1. Sababu invisible asingekuacha bila kukulima ban.
Kuhusu game alipoingia Andre iniesta Lujan nikaanza kuiona ile barcelona tuliyoizoea. Jamaa kabadilisha game yote. Katengeneza nafasi mbili kwa Neymar na Messi ambazo walishindwa kuzitumia. Neymar lei game haikumkubali kama tulivyozoea kumwona akicheza.
Kwa maoni yangu hii ni fair result. Tulistahili haya matokeo.
mkuu ataa mm nlishajuaa tumeshindaa lakin goli LA Ramos lilitibua furahaa yanguUzuri wa Barcelona hawajawahi niangusha
Na ni kweli mkuu tumepoteza nafasi mbili za wazi
Mfano ile ya Neymar nilishasimama kushangilia ila daaaah
NI KWELI TULISTAIL MATOKEO YALE ILA LILE GOLI LA KUSAWAZISHA HADI SASA LINANIUMA
AamcccyyyLlaZiulize beki za yokobus zinamjua
Pole sana meza panadol.Uzuri wa Barcelona hawajawahi niangusha
Na ni kweli mkuu tumepoteza nafasi mbili za wazi
Mfano ile ya Neymar nilishasimama kushangilia ila daaaah
NI KWELI TULISTAIL MATOKEO YALE ILA LILE GOLI LA KUSAWAZISHA HADI SASA LINANIUMA
Kale ulalePole sana meza panadol.