Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kasbindwa. PoleKufunga Goli 11 makundi
Hii ndio Barca tulioizoea,Possession 80%-hapa hata ukifungwa at least soccer imeonekanamagoli magoli 20 point 15 na tumefungwa 4. tumefanya vizuri sana hatua hii
Tulipiga mpira mwingi sana. ilaa naona kama Gomes Tiktaka imemshindaHii ndio Barca tulioizoea,Possession 80%-hapa hata ukifungwa at least soccer imeonekana
Jumatatu ipi mkuuHodi wenyewe ! tetesi eti jumatatu ndio siku ambayo anayechukiwa na PNC atatangazwa mchezaji bora wa dunia 2015-2016 kwa sasa niendelee kuwatakia wakati murua angalizo mpunguze malalamiko kama watoto wa kambo na UKAWA pale ambapo penaldo atakapo tangazwa ohhhh Suarez ohhhhh
jtatu watu tutakuwa tunazungumzia draw ya UCL.Jumatatu ipi mkuu
Hizo tuzo za kubebana zimekosa mvuto
kweli kabisa. sisi ni timu kubwa sana. tusiwe tunaokota okota wachezaji. tuchukue ambao uwezo wao unaeleweka. mambo ya wakina Gomes na Dennis yanatuangusha.Daah nimemuona Marc Batra ni beki mzuri sana lkn barcelonainaitaji viungo wakabaji tungempata ngolo kante na Coutinho mambo yaangeenda vizuri
Hii ndio Barca tulioizoea,Possession 80%-hapa hata ukifungwa at least soccer imeonekana
kweli kabisa. sisi ni timu kubwa sana. tusiwe tunaokota okota wachezaji. tuchukue ambao uwezo wao unaeleweka. mambo ya wakina Gomes na Dennis yanatuangusha.
naona nimekuwa si mtilii maanani. statistics zinamfavour.Denis ni mzuri sana,mazingira ya pale tu hajayazoea bado,tumpe mda kidogo.