FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Imani yako tu
 
nimeumia utafikiri nimefungwa. pengine jitihada za kulinda kagoli zimetuponza. ila kapteni akiwa upande wetu huko mbele hakuna kitakacho simama dhidi yetu. vivabarca.
 
Pamoja na mapungufu ya refa ila uamuzi wa kushinda na kudraw ulikuwa mikononi mwetu
Binafsi sina mengi ila alaaniwe Casmiro
ila hii mechi imenirejeshea confidence kwa timu. Casemiro kwanini alaaniwe?
 
Reactions: PNC
Ni vema tukaelekeza nguvu kwenye Uefa na mfalme
na mimi nilikuwa na mawazo hayo. lakini hata huku vita bado. alivyoingia iniesta nimeona flow/fluidity ambayo sijaiona siku nyingi. tukaze, tumepoteza pambano na si vita.
 
Reactions: PNC
Nilikuwa nikiomba kwa ajili ya Barcelona na ndugu yangu PNC 1. Sababu invisible asingekuacha bila kukulima ban.

Kuhusu game alipoingia Andre iniesta Lujan nikaanza kuiona ile barcelona tuliyoizoea. Jamaa kabadilisha game yote. Katengeneza nafasi mbili kwa Neymar na Messi ambazo walishindwa kuzitumia. Neymar lei game haikumkubali kama tulivyozoea kumwona akicheza.

Kwa maoni yangu hii ni fair result. Tulistahili haya matokeo.
 
Uzuri wa Barcelona hawajawahi niangusha
Na ni kweli mkuu tumepoteza nafasi mbili za wazi
Mfano ile ya Neymar nilishasimama kushangilia ila daaaah

NI KWELI TULISTAIL MATOKEO YALE ILA LILE GOLI LA KUSAWAZISHA HADI SASA LINANIUMA
 
mkuu ataa mm nlishajuaa tumeshindaa lakin goli LA Ramos lilitibua furahaa yangu
 
Reactions: PNC
Uzuri wa Barcelona hawajawahi niangusha
Na ni kweli mkuu tumepoteza nafasi mbili za wazi
Mfano ile ya Neymar nilishasimama kushangilia ila daaaah

NI KWELI TULISTAIL MATOKEO YALE ILA LILE GOLI LA KUSAWAZISHA HADI SASA LINANIUMA
Pole sana meza panadol.
 
Leo ni Barcelona ipo uwanjani dhidi ya timu ngumu ya ujerumani
Ligi ya UEFA

BARCELONA 22:45 BORUSSIA
M'GLADBACH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…