weekend hii walipigwa nne na Dortmund. Mechi inaweza kuwa ngumu sababu Neymar na Rakitic hawatakuwepo.Leo ni Barcelona ipo uwanjani dhidi ya timu ngumu ya ujerumani
Ligi ya UEFA
BARCELONA 22:45 BORUSSIA
M'GLADBACH
Leo ni droo tuLeo ni Barcelona ipo uwanjani dhidi ya timu ngumu ya ujerumani
Ligi ya UEFA
BARCELONA 22:45 BORUSSIA
M'GLADBACH
Mkuu hakuna kitu kama hikoLeo ni droo tu
Record ipi hiyo??! Thubutu!!!Mkuu hakuna kitu kama hiko
Leo tutashinda nyingi na Messi anaweza piga 3 au 2 ili kujitengenezea rekod ya peke yake
Neymar ana kadi? Nahisi LA liga ndio hatokuwepoweekend hii walipigwa nne na Dortmund. Mechi inaweza kuwa ngumu sababu Neymar na Rakitic hawatakuwepo.
Kufunga Goli 11 makundiRecord ipi hiyo??! Thubutu!!!
wote walikula kadi siku ile. Tena za kimakusudi. nahisi hawakuona umuhimu wa hii mechi. natamani Rafinha acheze badala ya Rakitic.Neymar ana kadi? Nahisi LA liga ndio hatokuwepo
Binafs naona kama Rakitic makali yamepungua sijajua kama ni uchovu au ni macho yanguwote walikula kadi siku ile. Tena za kimakusudi. nahisi hawakuona umuhimu wa hii mechi. natamani Rafinha acheze badala ya Rakitic.
Naona unazid jionyesha rangi yako kwa kutumia kigezo cha kujiita mshabiki wa BarcelonaRecord ipi hiyo??! Thubutu!!!
yamepungua sana. labda kwasababu Iniesta alikuwa hayupo.Binafs naona kama Rakitic makali yamepungua sijajua kama ni uchovu au ni macho yangu
kwanini Rafinha hapangwi?J. Cillessen
6 Denis Suárez
7 A. Turan
8 Iniesta
10 L. Messi
14 J. Mascherano
17 Paco Alcácer
19 L. Digne
21 André Gomes
22 Aleix Vidal
23 S. Umtiti
Sijajua mkuu nafikir ni kocha kaamua sababu yuko fit na uzur wa Rafinha ana kasikwanini Rafinha hapangwi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]game imekuwa nyepesi sana. ila Gomes apunguze kutetemeka miguu.