Sawa mkishindwa naskia mechi ijayo hamta hudhuria uwanjani
[emoji23]
HahahaIli jukwaa sasa limekuwa la malalamiko. Leo wameamka na mada nyingine kwamba Griezman kafanyiwa figisu
Kura ambazo zinapigwa kimapenzi na sio stats?rightStop believing your lies bro. Na wabongo wengi ndio mko hivi kwa kuamini hisia zenu. Award winners wamepatikana kwa mtindo kupiga kura za wazi kabisa. Voters walikuwa Coaches and Captains of National Teams. Sasa figisu imetoka wapi? Nimeanza kuwa na wasiwasi na kiwango cha uelewa Wako.
Ukweli gani unaonekana hata kwa macho kwamba tuzo za Ronaldo ya UEro amaeibaka kutoka kwa Griezman
Ha ha game ya leo naiandikia thread Barcelona akifungwa nameza kisuI wish you could be more preoccupied by
Athletic game today than EURO Awards. Mkuu hapo juu kakwambia Griezmann alikuwepo kwenye awards ceremony and congratulated Ronaldo na Jana kacheza game. Sasa Leo tuone walioshindwa kuhudhuria kwa kisingizio cha mechi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwekunduuuuuu mkali Wa kumeza zana za kilimo!!!haaa haaa haaaHa ha game ya leo naiandikia thread Barcelona akifungwa nameza kisu
Bal on Dor walifunga assessment yao kabla ya international world cup Japan mwezi december[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Data za uongo mwaka 2016
Cr 7 kachukua makombe
Ma 4
Data za kupika hizo
Ha ha ha leo tunashinda tena goal nyingi sana Camp NouMwekunduuuuuu mkali Wa kumeza zana za kilimo!!!haaa haaa haaa
Still bado alikuwa alikuwa na mkombe ma 3Bal on Dor walifunga assessment yao kabla ya international world cup Japan mwezi december
Sisi ni defending champion tunajiamino baadae usiikimbie mvua ya mabaoWhatever you take it, but you have to play Athletic tonight. Hizi nonsense story najua Ni za kupotezea mawazo Tu.
Leo Athletic Bilbao tutakachomfanya hataamini
Ni saa 5 USIKU E.A.T
Miamba ya Dunia
FC BARCELONA vs timu mbeleko Athletic Bilbao
Itakapochakazwa na mabingwa watetezi wa kombe wanalopigania KOMBE LA MFALME BARCA
sina mengi wala mbwembwe
Tukutane Nou Camp
Treni lishakolea Speed aliyeko mbele halal yet
Mkuu tulia hvohvo nakuelewa sana haukawiagi kumwaga povu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tulia dawa ikuingie leo