FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ili jukwaa sasa limekuwa la malalamiko. Leo wameamka na mada nyingine kwamba Griezman kafanyiwa figisu
Hahaha
Hawa jamaa tatizo wanafikiri wao ndio wana umiliki mpira, wanataka washinde kila kitu, wanadhani miaka hufanana. Sku zote dalili za club iliyo kwenye crisis ndio hiyo
Ukiwa angalia wote wana act kama Pique au Xavi, wote wana sahau timu yao now ina matatizo wanadhani wanaonewa.
Iniesta, Maradona hata Dani Alves wamesema kitendo cha wao kuto tokea hakikuwa poa, lakin mashabiki wana mtetea girezman, ambaye yeye alienda na kacheza jana. Na anajua hakustahili kuchukua tuzo
 
Stop believing your lies bro. Na wabongo wengi ndio mko hivi kwa kuamini hisia zenu. Award winners wamepatikana kwa mtindo kupiga kura za wazi kabisa. Voters walikuwa Coaches and Captains of National Teams. Sasa figisu imetoka wapi? Nimeanza kuwa na wasiwasi na kiwango cha uelewa Wako.
Kura ambazo zinapigwa kimapenzi na sio stats?right
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hadi Mourinho alilitambua hili m Portuguese mwenzie
Screenshot_2016-11-16-12-39-56.png
 
Ukweli gani unaonekana hata kwa macho kwamba tuzo za Ronaldo ya UEro amaeibaka kutoka kwa Griezman

I wish you could be more preoccupied by
Athletic game today than EURO Awards. Mkuu hapo juu kakwambia Griezmann alikuwepo kwenye awards ceremony and congratulated Ronaldo na Jana kacheza game. Sasa Leo tuone walioshindwa kuhudhuria kwa kisingizio cha mechi
 
Ha ha game ya leo naiandikia thread Barcelona akifungwa nameza kisu
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Data za uongo mwaka 2016
Cr 7 kachukua makombe
Ma 4

Data za kupika hizo
Bal on Dor walifunga assessment yao kabla ya international world cup Japan mwezi december
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kinachoshangaza ni kusikia watetezi wa ronaldo wakitaja hata kombe la Euro 2016! Halafu ukiwauliza kwenye makundi ronldo na ureno yake walishinda mechi ngapi.... Watu wanakula kona!
 
Whatever you take it, but you have to play Athletic tonight. Hizi nonsense story najua Ni za kupotezea mawazo Tu.
Sisi ni defending champion tunajiamino baadae usiikimbie mvua ya mabao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo Athletic Bilbao tutakachomfanya hataamini

Ni saa 5 USIKU E.A.T

Miamba ya Dunia
FC BARCELONA vs timu mbeleko Athletic Bilbao

Itakapochakazwa na mabingwa watetezi wa kombe wanalopigania KOMBE LA MFALME BARCA

sina mengi wala mbwembwe

Tukutane Nou Camp

Treni lishakolea Speed aliyeko mbele halal yet
 
Tulia dawa ikuingie leo
 
Back
Top Bottom