Mkuu unajifanya mjanja sio na maswali yako ya ajabu? kaangalie statistics zinasema alfu utuletee jibu.
Stats zinaonyesha Chicharito ni mmaliziaji mzuri na kwa ufanisi kuliko Berba.Its really unfair to Berba,
Na wewe kumbuka kuwepo baada ya game.
As much as I like berbatov, he tends to slow our game down...sasa ukiwa unacheza na timu kama barca unatakiwa uwe wachezaji wenye speed kwa ajili ya counter attack.Its really unfair to Berba,
Mimi leo nawashabikia Man Utd......I hate 'em Barca 'wazee wa kubebwa'.....
Tupo pamoja Mashetani,go United gooooooo(kwa leo tu)....
Tusubiri baada ya mpira kuisha...
Kweli Katavi,mpira dakika 90...:dance::dance:
Go go go Barca.....send the Red devils where they belong!!
kwa sisi ambao hatuna premium dstv wanaonyesha station gani local?Champions League Finale is to start in less than an hour at Wembley. This is JF official updates thread. Come on fans!
Leo sina maneno mengi...dua zangu ni kwa Manure.