FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu unajifanya mjanja sio na maswali yako ya ajabu? kaangalie statistics zinasema alfu utuletee jibu.

Mkuu lakini hapa si tunaeleweshana au??maana sisi wengune kama hivi tupo kwenye simu kama vipi mwaga hiyo statistics kama ni possible haha......kamanda leo upande gani lakini??
 
Hernandez and Rooney were the obvious choice tonight. They're the ones who can win this match for United, they're the ones who are dangerous on the transition. Fergie will be going around the dressing room explaining his reasons to those who have been left out. Berbatov is a bit more to feet and doesn't have the same penetration as Owen
 
Its really unfair to Berba,
As much as I like berbatov, he tends to slow our game down...sasa ukiwa unacheza na timu kama barca unatakiwa uwe wachezaji wenye speed kwa ajili ya counter attack.
 
Champions League Finale is to start in less than an hour at Wembley. This is JF official updates thread. Come on fans!
 
Kama wewe ni shabiki wa Man U na Simba leo utalala kwa PANADOL tuuuu maumivu kwa kwenda mbele hahahahaah
 
Mimi leo nawashabikia Man Utd......I hate 'em Barca 'wazee wa kubebwa'.....

Tupo pamoja Mashetani,go United gooooooo(kwa leo tu)....
 
Kweli Katavi,mpira dakika 90...:dance::dance:

Go go go Barca.....send the Red devils where they belong!!


Mhhh! naona leo umevaa uzi wa BARCA (sijui ndio yule Messi? hahahah lol!) jiandae kwa majonzi na usiku mrefu sana.
 
All the talk in the build-up was that Pep Guardiola did not want to risk playing both Carles Puyol and Eric Abidal, but it's still a shock that the captain and leader of this Barca team is not in the XI. All eyes on Javier Mascherano, who has hardly had to break sweat in previous games at centre-back. Tonight will be different, and it increases the pressure on Gerard Pique, too. With Puyol and Pique together in the middle, Barca have lost only two of 58 games
 
Back
Top Bottom