FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Chicharitooooooooooooo.........................aaaaaaaaaaaaaaarghhhhhhhhh
 
hahahahah lol! utabidi ujimeze mwenyewe leo baada ya ushindi wa nguvu wa MANU...waambie wenzio wa BARCA watafute klorokwin na panadol za kutosha kwa angalau siku tatu.

heheeh mkuu BAK mimi ni zaidi ya Pweza paulo, mandisaster united wananyakwa 2 za kuwasha. Hakikisha unabaki mpaka mtanange unaisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawa jamaa inawabidi tuwapress namna hii for the next 30 minutes, watacrack open tu.
 
"Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal anapaisha, anafanya nini Messi hapa, alikuwa amebaki yeye na kipa"

ha ha ha jamaa walitutesa sana tukiwa tunasikiliza yanga na simba redio tanzania .

May the best team win.
 
heheheh washabiki wa Manu mnaombwa mkae na panadol pembeni halaf mkilog out pia mtaombwa mtujulishe.

he he..hujui hata yule ofisa ya dodoma aliyejiua japo kwa wivu ni Arsenal fan!!..sie wagumu, mie tushinde au tishindwee hii wine inaisha halafu 'DJ music' mpaka mornie!!
Ingekuwa Arsenal leo, wameshafungwa kabla ya mechi, halafu sijui this time angejiua mtanzania🙂 lol
 
Mimi bana leo mpaka kufuli nimevaa la Barca. Ushindi lazima aisee!
 
he he..hujui hata yule ofisa ya dodoma aliyejiua japo kwa wivu ni Arsenal fan!!..sie wagumu, mie tushinde au tishindwee hii wine inaisha halafu 'DJ music' mpaka mornie!!
Ingekuwa Arsenal leo, wameshafungwa kabla ya mechi, halafu sijui this time angejiua mtanzania🙂 lol

Haya mambo ya kusikitisha tusiyazungumze hapa kwenye mpira.....manake uhai wa mtu na ushindi wa timu fulani au ushabiki havilinganishwi wala kutazamiwa.....pls my dear,yaani nikiskia hiyo story ya ofisa na kukumbuka yule msichana wa kenya aliyekufa after kufungwa huwa naumwa roho sana!!!
 
"Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal anapaisha, anafanya nini Messi hapa, alikuwa amebaki yeye na kipa"

ha ha ha jamaa walitutesa sana tukiwa tunasikiliza yanga na simba redio tanzania .

May the best team win.
Wacha uchuro wewe..!!
 
he he..hujui hata yule ofisa ya dodoma aliyejiua japo kwa wivu ni Arsenal fan!!..sie wagumu, mie tushinde au tishindwee hii wine inaisha halafu 'DJ music' mpaka mornie!!
Ingekuwa Arsenal leo, wameshafungwa kabla ya mechi, halafu sijui this time angejiua mtanzania🙂 lol

Kumbe timu A na B zikicheza huwa hujifichi? safi sana lol
 
hehehe kuna bao la mzee Villa muda si mrefu. hivi bado washabiki wa Manu hawajalog out?
 
Back
Top Bottom