Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Messi anaogopa naona ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kusikitisha tusiyazungumze hapa kwenye mpira.....manake uhai wa mtu na ushindi wa timu fulani au ushabiki havilinganishwi wala kutazamiwa.....pls my dear,yaani nikiskia hiyo story ya ofisa na kukumbuka yule msichana wa kenya aliyekufa after kufungwa huwa naumwa roho sana!!!
Mkuu leo uko upande gani? au umeamua kuwa referee? lolMessi anaogopa naona ha ha ha
Mimi bana leo mpaka kufuli nimevaa la Barca. Ushindi lazima aisee!
Mimi bana leo mpaka kufuli nimevaa la Barca. Ushindi lazima aisee!
Mkuu leo uko upande gani? au umeamua kuwa referee? lol
As an arsenal fan, ' let the best team win'
he!...mbona na mimi nimevaa lile kufuli la juu ya la chini la barca uliloninunulia......leo lazima kitu kitokee hapo uwanjani.....wallah
Ishaanza kuwa noma hapa sasa.
Barca 1 - 0 Man Utd 28th minute