FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Possesion ikoje wale waliokuwa wanehesabu possion za baraca ikicheza na timu nyingine ?
 
Ebanae nazidi kuwa more nervous duh mzozo huu...!! Heri yenu nyie mliotolewa mapema hamna hizi pressure.
 
sijui kwanini nikimuona Park na Ferdinand nakosa raha ghafla.......l.o.l
 
Ebanae nazidi kuwa more nervous duh mzozo huu...!! Heri yenu nyie mliotolewa mapema hamna hizi pressure.

Kuna comment ulitoa mechi ya barca na arsenal london ulikuwa unahesabu Pass. teh teh teh teh.

Wapenda mpira lazima tukubali barca ni timu kali unaweza kushindana nayo kwa matokeo lakini huwezi kushindana nayo kwa mchezo uwanjani.
 
Huo ndio uzuri wa ferguson unatoa darasa game nzima sio Mzee Mazengo (Aw) yeye anapigana na chupa tu huku meli inazama.
 
Duh kipindi cha kwanza kimekimbia kweli... So far so good....
 
Sasa tusubiri kuona wanavyouana kipindi cha pili.

Soka noma sana, yani dakia 45 zinakatika kama mchezo.
 
Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau!
 
hakuna kama barca,man u ulimi nje.ngoja tusubiri tuone kipindi cha pili kitakuwaje.
 
Barca are playing their best, as for Man Utd bado tunasuasua lakini what matters ni results natumaini kipindi cha pili tutaamka na kucheza vizuri naona Valencia kichwa chake hakiko uwanjani sijui haamini kama yuko kwenye final baada ya ile freak injury.
Ngoja nitafute slice ya Pizza sasa.
 
Back
Top Bottom