FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hawa wakwetu leo,kuwa droo hadi half time ni matokeo safi
 
Naona hawa vijana sasa wameamua kuanza wao kwa nguvu......nice game so far
 
Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho

karibu sana,julisha mapema unakuja lini na wife lakini🙂..kwa hii mechi bora nishuhudie mpaka mwisho, kuzima tv presha ndiyo itakuwa haishikiki...nina kifua cha kukabiliana na matokeo wala usijali!!ha ha
 
kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV. Natanguliza shukrani
 
goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaallllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll messssssssssssssssssiiiiiiiiiiii
 
Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Back
Top Bottom