FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu naye! anakaa golini kama gunia!? au ndio uzee unamsumbua!? Ahhhhhh!
 
Duh Messi... mamaezake huyu mtoto...
Barca 2 - 1 Man Utd
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.
 
Jamanii hivi ni haki Kulinganisha Messi naRoonye au kwa kwuwa Rooney ni Muigereza basi ndo anatfutiwa sifa kama alizpachikwa Beckham.

Maana kuna mtangazajia anasema its Rooney Vs Messi



BTN
Link nyingine hii hapa Watch Live FC Barcelona vs Manchester United

Na tovuti nyingine waweza chagua hapa ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV

Hapana mkuu,ni ngumu......Si haki kuwalinganisha Messi na Rooney,ni ngumu sana kulinganisha kipaji na maguvu....

Ni sawa na kuwalinganisha Matt Damon na Steven Kanumba...

Messi size yake ni CR7 a.k.a Cristiano Ronaldo
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.
Umeamua kuvaa jezi ya uswahilini sasa lol unaanza kuleta kisingizio cha jezi nyeupe lol.

sio jezi mkuu game yenu mnacheza kama mlivyo plan. Mkianza kwuashambulia hovyo watawakamata kwenye counter attack nendeni kwa hesabu hivyo hivyo kwa sasa kipindi kibaya hiki mkuu.
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.

Pole sana kamanda Sio wewe tu mjeredi huu wa bbarca umewakumba wengi. Tunaachomba game iwe nzuri tu lakini tawkimu za kimmpira zinanyesha 90% wanategeamea barca anategemea kuondoka na kombe
 
Back
Top Bottom