FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Game lina change for sure upo uwezekano Aleix Vidal asiuzwe tena na akawa ndio first choice ya right full back ya Lucho this season ,Roberto u catalan unamlinda sana pia amepewa chance nyingi sana za majaribio
Attacking force ya Aleix Vidal nimeipenda sana he is so aggressive kama winger vile
 
Tuko la 5 dogo Suarez ameonyesha uwezo tena huyo dogo na Digne nawakubali sana halafu hata commentator anasifia coupling yake na Messi
wanaelewana sana hadi raha. Iceman 3D akiona hivi anajua na yeye wikiendi atashinda tano kumbe atakula 2-0 nyumbani.
 
Neymar haitendei haki nafasi ile kwani mipira mingi unapotea kwake angalia ada turani anavyoitendea haki nafas ile cheki game ya borrussia mongcheglabachi na hii game ya Leo. halafu yule segio Robert angerudishwa katikati halafu Vidal apewe nafasi
 
nafikiri huwa wanamkamia sana, huwa anachezewa faulo nyingi sana ila ni mtu muhimu sana kwenye kupangua defence. Turan ni mzuri ila anakosa consistency.
 
Kabisa. Roberto hawezi kucheza beki kabisa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Close enough..

C3In73zWcAIsJPZ.jpg

C3In733XAAAfAy7.jpg
 
nafikiri huwa wanamkamia sana, huwa anachezewa faulo nyingi sana ila ni mtu muhimu sana kwenye kupangua defence. Turan ni mzuri ila anakosa consistency.
Barca inabidi tuombe Neymar asipate injury-maana opposition defence wanajazana sana kati na kuifrustate strike force yeye akitokea pembeni ana create havoc
 
Barca kwa sasa ni results oriented-cause we need kurudi kileleni tulipopazoea,ndio maana saa ingine we don't walk with the ball inside the net na tiki taka imepungua.Punde tukirudi at the helm-entertaining soccer itarudi palepale ndivyo yaandikavyo magazine za Catalunya ya leo. Philosophy ya Barca ya "its not about winning but its how you win"imewekwa backseat kidogo cause Barca cannot risk backlash ya kukosa cup
 
Back
Top Bottom