FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sio kwa kufichwa huko!! Nani anakuficha hivyo?
Hahahahaha Magu tu......halafu wewe ni mmoja wa waliokula nami mezani pangu japo jina geni kwangu jilete mwenyewe Kwa Waziri mkuu unipe ile id ya zamani hahahahahahaha!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaaaa! Nakuja maana umemisika hatari.
 
Tatizo kubwa la Barcelona kwa sasa mimi binafsi naona ni Luis Enrique...ukitaka kuaamini kama umefatilia game zote za Barca laliga tangu Msimu Umeanza ebu angalia vikosi alivoaanzisha katika mechi tulizopoteza ... Ebu angalia usajili aliofanya Msimu huu,Denis Suarez na umtiti tu wameonesha angalau ahueni..bila MSN sijui Huyu jamaa angekua wapi saivi...

Katika game karibia zote tulizopeteza amepanga vikosi vya kipuuzi..kitu kibaya zaidi ni kua hajifunzi kwa makosa yake...eti Mathieu na yeye ni beki anaechezea Barca...!!

Hii game ilikua sio ya droo kabisa...nawasilisha
 
Walau tungekaa kileleni ndo ungeanza kuwapanga hawa akina Mathieu, hiki ni kipindi ambacho inabidi tukaze kwelikweli.
 
Tatizo kubwa la Barcelona kwa sasa mimi binafsi naona ni Luis Enrique...ukitaka kuaamini kama umefatilia game zote za Barca laliga tangu Msimu Umeanza ebu angalia vikosi alivoaanzisha katika mechi tulizopoteza ... Ebu angalia usajili aliofanya Msimu huu,Denis Suarez tu kaonesha angalau ahueni..bila MSN sijui Huyu jamaa angekua wapi saivi...

Uko sahihi mkuu, anajifanya anajaribu wachezaji!!! Leo eti Vidal anacheza midfielder baada ya sub ya Arda
 
Tatizo kubwa la Barcelona kwa sasa mimi binafsi naona ni Luis Enrique...ukitaka kuaamini kama umefatilia game zote za Barca laliga tangu Msimu Umeanza ebu angalia vikosi alivoaanzisha katika mechi tulizopoteza ... Ebu angalia usajili aliofanya Msimu huu,Denis Suarez tu kaonesha angalau ahueni..bila MSN sijui Huyu jamaa angekua wapi saivi...

Katika game karibia zote tulizopeteza amepanga vikosi vya kipuuzi..kitu kibaya zaidi ni kua hajifunzi kwa makosa yake...eti Mathieu na yeye ni beki anaechezea Barca...!!

Hii game ilikua sio ya droo kabisa...nawasilisha
huyu jamaa hajawahi kuwa strategist wala tactician mzuri. watu hawampigii kelele sababu timu inambeba na kuleta matokeo. pale usajili aliofanya ni Umtiti na Dennis tu ndiyo wanasomeka. pumbavu zake!
 
e
Walau tungekaa kileleni ndo ungeanza kuwapanga hawa akina Mathieu, hiki ni kipindi ambacho inabidi tukaze kwelikweli.
Eti anapanga kina Mathieu kipindi ambacho ni kigumu kwetu laliga
 
huyu jamaa hajawahi kuwa strategist wala tactician mzuri. watu hawampigii kelele sababu timu inambeba na kuleta matokeo. pale usajili aliofanya ni Umtiti na Dennis tu ndiyo wanasomeka. pumbavu zake!
Yes uko sahihi..na umtiti mkuu
 
Back
Top Bottom