Tuko la 5 dogo Suarez ameonyesha uwezo tena huyo dogo na Digne nawakubali sana halafu hata commentator anasifia coupling yake na Messigooooooooooooo. dk 80 turan 4-2, goooooooooooooo dk 82 dennis 5-2.
wanaelewana sana hadi raha. Iceman 3D akiona hivi anajua na yeye wikiendi atashinda tano kumbe atakula 2-0 nyumbani.Tuko la 5 dogo Suarez ameonyesha uwezo tena huyo dogo na Digne nawakubali sana halafu hata commentator anasifia coupling yake na Messi
draw inachezeshwa kesho. tupewe Alaves tulipe kisasi.Barcelona 5-Real sociedad 2 on aggregate 6-2 semi final copa del ley Barcelona
nafikiri huwa wanamkamia sana, huwa anachezewa faulo nyingi sana ila ni mtu muhimu sana kwenye kupangua defence. Turan ni mzuri ila anakosa consistency.Neymar haitendei haki nafasi ile kwani mipira mingi unapotea kwake angalia ada turani anavyoitendea haki nafas ile cheki game ya borrussia mongcheglabachi na hii game ya Leo. halafu yule segio Robert angerudishwa katikati halafu Vidal apewe nafasi
Kabisa. Roberto hawezi kucheza beki kabisaNeymar haitendei haki nafasi ile kwani mipira mingi unapotea kwake angalia ada turani anavyoitendea haki nafas ile cheki game ya borrussia mongcheglabachi na hii game ya Leo. halafu yule segio Robert angerudishwa katikati halafu Vidal apewe nafasi
Barca inabidi tuombe Neymar asipate injury-maana opposition defence wanajazana sana kati na kuifrustate strike force yeye akitokea pembeni ana create havocnafikiri huwa wanamkamia sana, huwa anachezewa faulo nyingi sana ila ni mtu muhimu sana kwenye kupangua defence. Turan ni mzuri ila anakosa consistency.
Duuhh lkn hapo tufunge mkanda kwelijumatano ya februari 1 ndani ya vicente calderon saa 5 usiku tutakuwa tunamfundisha Simeone mpira.
Amani iwe kwako na wana Barca wote!!!Bora wametupa hawa wahuni, tukiwatoa tu kombe letu.
Na kwako pia, ulikuwa wapi?Amani iwe kwako na wana Barca wote!!!
jhAmani iwe kwako na wana Barca wote!!!
Na kwako pia, ulikuwa wapi?