fainali mei 27. labda Paco atakuwa kajinoa.Najua tunaenda fainali ila nina kinyongo sana there was no reason ya Suarez kutokucheza fainal hata goli lao ni lakupewa hawa mbuzi....warudi kwao Madrid and i promise this another trophless year for At Madrid wakizubaa hata UEFA tutakua hatuwaoni !!kama huyu Felippe luiz ana chuki binafsi na Messi hadi commentator amenikumbusha hapa last time alimchezea rought last year akapigwa red usicheze na MESSI is another level halafu jamaa anachuki za ajabu sana huyu dada
mi natumia voda, goatd.net kwenye pc. nikijiunga GB 1 inatosha kwa mechi hata 2. hizi za usiku huwa inatulia sana.internet yangu leo imezingua sana next time nitumie mtandao gani?hizi match channel nyingi hawaonyeshi nilijaribu SS4,Azam haonyeshi shida tu
Hili kombe tumeshachukua,as such one down,two to go-La liga and Europe here we come Viva FCB.Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
Atasimama Messi watakua wana exchange na Rafinha kwakua Iniesta na Beaquets watakuwepo equilibrium na kasi ya attacking itatimia kumbuka hiyo ni fainali hatutaweka watu wa majaribio wasiojiaminifainali mei 27. labda Paco atakuwa kajinoa.
halafu alaves na celta wote wametufunga msimu huu sijui tulikuwa tunashangaa nini ?Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
Hii habari mbaya-yaani umesema wote wametufunga msimu huu? hii jinx mbaya sanahalafu alaves na celta wote wametufunga msimu huu sijui tulikuwa tunashangaa nini ?
Oya fainali sio mambo ya kitoto ila namuona Vidal anaingia nafasi ya S Roberto ,mbele atakaa messi ,Rafinha au Arda kushoto anapiga Neymar katikati ya dimba Iniesta na Six Besquets ,back 4 Macherano na 5,2,3 Pique,Umtiti na Jordi Alba !!Tukiwaona wepesi Vidal ndo ataingia kama sub Umtiti anapumzikaPaco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
leo nilikuwa na hamu ya kumuona vidal. ile anataka kumbadili Roberto, Roberto kala njano ya pili. ikibidi arudi mipango isukwe upya. i hope mechi ya wikiendi na Alaves atakamua.Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
wanasema zamani alikuwa mildfielder! ila kwa performance ya leo nilikuwa najiaminisha kuwa ile penati anatoa. hahaha, sisi ndiyo gold standard ya mpira.Goalie Cillessen sio wa mchezo mchezo ana confidence ya kutoa pass hata ukizungukwa na opposition na ukija macho juu juu anakupiga chenga-ndio maana Barca will always be unique and all other teams will be judged by standards set by Barca
Mkuu sikuangalia mpira lakini midfielder yetu ni shida sanaNeymar pengo lake limeonekana halafu mchezo wa jana ulikuwa wa kibabe kinyama lakini bado midifield zetu haziko njema
Tunaongoza 2-0..Suarez na Neymar JrUpdate game ya barca vs alaves
Tunaongoza goal 2,Suarez na NeymaUpdate game ya barca vs alaves