FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Najua tunaenda fainali ila nina kinyongo sana there was no reason ya Suarez kutokucheza fainal hata goli lao ni lakupewa hawa mbuzi....warudi kwao Madrid and i promise this another trophless year for At Madrid wakizubaa hata UEFA tutakua hatuwaoni !!kama huyu Felippe luiz ana chuki binafsi na Messi hadi commentator amenikumbusha hapa last time alimchezea rought last year akapigwa red usicheze na MESSI is another level halafu jamaa anachuki za ajabu sana huyu dada
fainali mei 27. labda Paco atakuwa kajinoa.
 
Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
 
internet yangu leo imezingua sana next time nitumie mtandao gani?hizi match channel nyingi hawaonyeshi nilijaribu SS4,Azam haonyeshi shida tu
mi natumia voda, goatd.net kwenye pc. nikijiunga GB 1 inatosha kwa mechi hata 2. hizi za usiku huwa inatulia sana.
 
Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
Oya fainali sio mambo ya kitoto ila namuona Vidal anaingia nafasi ya S Roberto ,mbele atakaa messi ,Rafinha au Arda kushoto anapiga Neymar katikati ya dimba Iniesta na Six Besquets ,back 4 Macherano na 5,2,3 Pique,Umtiti na Jordi Alba !!Tukiwaona wepesi Vidal ndo ataingia kama sub Umtiti anapumzika
 
Paco atasimama mbele pale final na vidal atacheza right back hakuna tatizo na hasa ukiangalia timu zinazotarajia kucheza fainali ni za kawaida
leo nilikuwa na hamu ya kumuona vidal. ile anataka kumbadili Roberto, Roberto kala njano ya pili. ikibidi arudi mipango isukwe upya. i hope mechi ya wikiendi na Alaves atakamua.
 
Goalie Cillessen sio wa mchezo mchezo ana confidence ya kutoa pass hata ukizungukwa na opposition na ukija macho juu juu anakupiga chenga-ndio maana Barca will always be unique and all other teams will be judged by standards set by Barca
 
wanasema zamani alikuwa mildfielder! ila kwa performance ya leo nilikuwa najiaminisha kuwa ile penati anatoa. hahaha, sisi ndiyo gold standard ya mpira.
 
Neymar pengo lake limeonekana halafu mchezo wa jana ulikuwa wa kibabe kinyama lakini bado midifield zetu haziko njema
 
Neymar pengo lake limeonekana halafu mchezo wa jana ulikuwa wa kibabe kinyama lakini bado midifield zetu haziko njema
Mkuu sikuangalia mpira lakini midfielder yetu ni shida sana
 
upload_2017-2-11_17-40-5.png
 
Back
Top Bottom