kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
hahahahah lol! utabidi ujimeze mwenyewe leo baada ya ushindi wa nguvu wa MANU...waambie wenzio wa BARCA watafute klorokwin na panadol za kutosha kwa angalau siku tatu.
heheheh washabiki wa Manu mnaombwa mkae na panadol pembeni halaf mkilog out pia mtaombwa mtujulishe.
waambie Kloro,tell them!!!:dance::dance:
he he..hujui hata yule ofisa ya dodoma aliyejiua japo kwa wivu ni Arsenal fan!!..sie wagumu, mie tushinde au tishindwee hii wine inaisha halafu 'DJ music' mpaka mornie!!
Ingekuwa Arsenal leo, wameshafungwa kabla ya mechi, halafu sijui this time angejiua mtanzania🙂 lol

Wacha uchuro wewe..!!"Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal anapaisha, anafanya nini Messi hapa, alikuwa amebaki yeye na kipa"
ha ha ha jamaa walitutesa sana tukiwa tunasikiliza yanga na simba redio tanzania .
May the best team win.
he he..hujui hata yule ofisa ya dodoma aliyejiua japo kwa wivu ni Arsenal fan!!..sie wagumu, mie tushinde au tishindwee hii wine inaisha halafu 'DJ music' mpaka mornie!!
Ingekuwa Arsenal leo, wameshafungwa kabla ya mechi, halafu sijui this time angejiua mtanzania🙂 lol
Wacha uchuro wewe..!!
Kumbe timu A na B zikicheza huwa hujifichi? safi sana lol